"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

My life goals, nitamfundisha dear daughter kuwa yeye sio kundi maalum. Ni binadamu kamili ambaye hatakiwi kuwa tegemezi kwa basic needs kama mlo na muonekano. Kiufupi mwanaume ni patner na sio solution ya matatizo madogo kama hayo

Na huu sio msimamo wangu ila ni maisha waliyoishi bibi, shangazi na mama zangu. Kwa hiyo asitafute laana yao
 
😹😹
 
Mwanamke ni ua muda wote linahitaji maji ili lizidi kuchanua
 
Wajibu wa mwanaume siyo kukwepa majukumu,mpendezeshe msifie
 
Wewe badala ya kufikiria namna ya kutafuta maisha.unawaza kusifiwa umependeza utakua mzigo sana wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…