"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Kama huwezi kujilisha na kujipendezesha, what more can you do in life au utaweza changia nini kwenye mahusiano na mtu zaidi ya sex.

Hizo traditional roles za mwanaume haziwezi kubadilika lakini kwa maisha ya sasa soko lipo tight. Hivyo watakiwa zaidi ya muonekano na mwili wako
Wajibu wako kwangu ni nini sex tu basi kwa sababu najilisha na kujipendezesha,msipende mitelemko
 
Hata msipo sifiwa pia mtalaumu!

Kama nimekuoa ni haki yako kudai matunzo maana hata sheria, jamii na vitabu vya dini vinaelekeza kwamba ni wajibu wa mume kumuhudumia mkewe.

Ila kama uko kwenu, hiyo ni kazi ya baba, mama n a kaka zako kukupa huduma. Ndiyo maana nikienda kukuposa kwenu hao hao kaka zako na mzee wanataka fidia ya mahari.

Kwa hiyo tusibebeshane mabeseni yasiyo yetu.

Kama ni upwiru tutatoana maana hilo halina mwenyewe, na wala baba na kaka hawawezi kukupa dushe.

Mengine subiri uolewe!
 
Nitajitahidi watoto wangu wakike wasiwe na mtazamo huo wa kwamba wao ni ombaomba.
Huo ni mtazamo wa hovyo Sana hakuna binadamu ambae hawezi kujihudumia mwenyewe na uhusiano sio kazi ni kufurahi pamoja.

Kama uko kwenye uhusiano na mtazamo wako ni kupewa unaishi Dunia ya zamani Sana ya mababu zetu ambao wametuambukiza kwamba mwanamke hawezi chochote ni akae nyumbani asubiri mwanaume amuhudumie na ni lazima aolewe na akiwa na chochote basi tuamini kapewa au ana danga lenye hela.

Nawaheshimu wanawake na nitajitahidi wanangu wasiwe kundi la ombaomba kwamba kupendeza kwao kutokane na msaada kutoka kwa mwingine.

Awe mpenzi au rafiki hupaswi kuwa tegemezi kwake kiasi kwamba akikuacha ndio hupendezi tena wala hupati mahitaji yako mahusiano sio ajira ni kuhusiana na kufurahishana.
Kama kupendeza kwangu kutakuwa ni ombaomba,kazi yako kwangu ni sex: umarioo huo,kweli wanaume walikuwa enzi za mababu zetu walahi!!!! Ko wewe unataka sex tu,kisa ukiomba kitu fulani utaitwa ombaomba na mwanaume!!!!!!!🤣🤣🤣
 
Babu! Mwanamke akikupenda atataka utimize malengo yako kwanza badala ya kutumia hela kwenye mambo yasiyo ya msingi kwake
Kama hupendwi jiandae kuwa ATM machine
Umesema sahihi Mjukuu, ndiyo maana nitamuonea wivu Mkwe atakaye kuoa as atakuwa amepata a real wife material 🤗

Wanaume inabidi tujitafakari, ukishaona Mwanamke anataka umtumie hadi hela yako uliyopanga kununulia Kiwanja ujue huyo hatupendi.

She is there, for her private gains 🙌
 
Wajibu wako kwangu ni nini sex tu basi kwa sababu najilisha na kujipendezesha,msipende mitelemko
Kwa hiyo zaidi ya kukupendezesha na kukulisha huoni part nyingine ya mwanaume katika maisha yako.

Kuna tatizo mahali

1. Kariba ya wanaume unaodate nao ambao ni reflection ya wewe ulivyo maana unachokipata ndicho ulichokivutia

2.kama unadate na wanaume ambao ni alpha males bhasi wanakupa kile wanachoona unachostahili kwa ulivyojiweka kwao ndio maana huoni cha, ziada

Hivyo badili circle yako au ubadili tabia na mtazamo wako.. Kama sivyo, hatutomaliza mjadala huu
 
Kama kupendeza kwangu kutakuwa ni ombaomba,kazi yako kwangu ni sex: umarioo huo,kweli wanaume walikuwa enzi za mababu zetu walahi!!!! Ko wewe unataka sex tu,kisa ukiomba kitu fulani utaitwa ombaomba na mwanaume!!!!!!!🤣🤣🤣
Enzi za Mababu zako, bibi zako hawakua omba omba kama ulivyo wewe, bibi zako walisubili waolewe kwanza ndio wadai matunzo. Kama hujaolewa huna haki yakudai matunzo huo ni wajibu wa ndugu zako wewe. Na mwanaume nae ana dad zake ambao inatakiwa awatunze kama bado hawajaolewa.
 
Kama kupendeza kwangu kutakuwa ni ombaomba,kazi yako kwangu ni sex: umarioo huo,kweli wanaume walikuwa enzi za mababu zetu walahi!!!! Ko wewe unataka sex tu,kisa ukiomba kitu fulani utaitwa ombaomba na mwanaume!!!!!!!🤣🤣🤣
Tena hao enzi za mababu zetu walikuwa hawa hudumii chochote zaidi ya kuzalisha watoto wengi 😁
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Mindset za kuhogwa hizi
 
Tunahitaji mahusiano ili tuone kama unafaa kupelekwa stage yapili ya kulasimishwa lkn ukianza tabia ya omba omba lazima tuchape na kukimbia.
Ndo tunapima kama utaajibika kunitunza utakaponioa au utanioa niende kuzeeka mapema ,Kama uchumbani uliajibika ipasavyo huko mbeleni ni raha,Kama uchumbani uliniita ombaomba huko mbeleni ni majanga
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Makasiliko yote ya nini?? Njoo kitangiri shuleni hapa tuyajenge
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Jukumu lako kama mwanamke kwenye mahusiano yako ni lipi?
 
Back
Top Bottom