Hepatis B
Senior Member
- Feb 11, 2013
- 193
- 155
Huo nUnakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Unazani upo peke yako?Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza