"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Vita kuu ya tano ya dunia itakuwa ni kati ya wanaume na wanawake.

Ukiondoa mbususu kwenye mahusiano mwanamke hana jambo lingine kubwa analochangia,hizi kazi sijui ajira za mke ukichunguza zinamnufaisha mwenyewe na wasiojulikana wake maana hata asipokuwa nazo mwanaume anayamudu majukumu yote kwa usahihi kabisa, japo sio kwa wote ila kati ya wanawake 100 wawili tu ndo angalau wanajitahidi wengine wote ni mizigo hadi ya kihisia, mmtaabu kubwa sana anabeba mwanaume halafu tunabwekeana.
 
Sio kila Mwanaume anayekua kwenye mahusiano hua na lengo la kuzaa na binti aliyenae.
Sex kwenye mahusiano huwa tunadhani ni kuburudika lakini kwa asilimia 100 ya hili tendo ni kuzaaaaaa na si vinginevyo,wakati unasex mwanaume unawaza raha lakini mwanamke anawaza raha na matokeo yake baada ya kusex je nitapata ujauzito?
 
Nimechekaa, sio kila unachokiona ni sahihi kuwa kipo hivyo, kuna muda macho yanadanganya.

.......

Najua huwezi kuamini kwa sababu ya standard uliyoizoea ila independent ladies with beauty and brains wapo. Na haijalishi wapo kwa nadra kiasi gani ila wapo

Kuna wengine pia wanaopewa push na wanaume ambavyo unapenda kusikia, hao ndio wengi zaidi ila huwezi walaumu. Kama wanafanya mambo makubwa na wanaume zao wakaongeza nguvu. Kuna ubaya gani

Ila wale wanaoona uzuri ndio kila kitu huwa wanafanywa nini mjini zaidi ya kutumiwa na kupewa bata refu bila kupewa asset yoyote ya maana..
 
Sex kwenye mahusiano huwa tunadhani ni kuburudika lakini kwa asilimia 100 ya hili tendo ni kuzaaaaaa na si vinginevyo,wakati unasex mwanaume unawaza raha lakini mwanamke anawaza raha na matokeo yake baada ya kusex je nitapata ujauzito?
Vipi ikitokea kua huna kizazi na huna uwezo wa kushika hiyo mimba? utarudisha gharama zote?
 
Halafu sio kila unaposifiwa kua umependeza inakua ina maanisha umependeza kweli,hizo hua ni ndoano tu za kujaribu kuvua kitoweo kwa kusifia,

Mwanaume anaweza kukwambia kua umependeza huku akijua kua hujapendeza,so kua muangalifu sana.
Mimi nikisifiwa na jinsia mke najua hapa nimependeza kweli ila Mwanaume naelewa fisi yuko mawindoni 😁😁
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Unatumia kanuni gani kunitaka kuchangia urembo wako unaoniuzia?

Go and get a brain
 
Sex kwenye mahusiano huwa tunadhani ni kuburudika lakini kwa asilimia 100 ya hili tendo ni kuzaaaaaa na si vinginevyo,wakati unasex mwanaume unawaza raha lakini mwanamke anawaza raha na matokeo yake baada ya kusex je nitapata ujauzito?
Tuliza hilo komwe mtoto wakike, usituaibishe kaka zako, fikiria kuzaa ukiwa ndani ya ndoa.
 
Uchumba ni stage rasmi, nampaka mtu kakuchumbia maana yake kaleta barua kwenu yakuomba kibali Cha kuruhusiwa kua na wewe hapo mwanaume atakutunza kadri ya uwezo wake. Lakini sio hajatangaza hata nia ya wewe kua mkewe bado mpo Kwa kujiiba iba hufahamiki kwao Wala yeye kwenu hafahamiki ile ki Rasmi unataka utunzwe, sio kweli. Endelea kuwa omba omba utapata wanaume wasiojitambua wanaoteteresha uchumi wao Kwa kuhudumia wanawake ambao hawajui kama watakua wake zao.
Nikuulize tu lengo lako la kunitaka hasa huwa ni nini? Tuanzie hapo kwanza
 
Najua huwezi kuamini kwa sababu ya standard uliyoizoea ila independent ladies with beauty and brains wapo. Na haijalishi wapo kwa nadra kiasi gani ila wapo

Kuna wengine pia wanaopewa push na wanaume ambavyo unapenda kusikia, hao ndio wengi zaidi ila huwezi walaumu. Kama wanafanya mambo makubwa na wanaume zao wakaongeza nguvu. Kuna ubaya gani

Ila wale wanaoona uzuri ndio kila kitu huwa wanafanywa nini mjini zaidi ya kutumiwa na kupewa bata refu bila kupewa asset yoyote ya maana..
Unatema madini! Nipo hapa kuchukua notes
 
Asilimia 100 na hatuja oana hapana kwa kweli. Labda tuanze na 10% [emoji16] unanunua simunanunua kava, Unajinunulia nguo nanunua hand bag ya kumatchna hyo oufit, unanunua mafuta nanunua, perfume hivo yaani.
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Mahusiano sio ajira mabinti mjifunze hilo. Wewe ukisema baby una gari zuri unakuwa umechangia bei gani au mauno?
 
Back
Top Bottom