"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Akishawekeza kwako wewe unawekeza nini kwake? Kupanua miguu tu?

Mavazi yako unataka mwanaume ashiriki.
Kula kwako unataka ashiriki,
Makazi yako unataka ashiriki,
Makazi yako unataka ashiriki,

Kinachoshangaza zaidi hata wale wanaofanya kazi wanajigeuza wategemezi. Wewe unachangia nini kwenye mahusiano?
 
Enzi za Mababu zako, bibi zako hawakua omba omba kama ulivyo wewe, bibi zako walisubili waolewe kwanza ndio wadai matunzo. Kama hujaolewa huna haki yakudai matunzo huo ni wajibu wa ndugu zako wewe. Na mwanaume nae ana dad zake ambao inatakiwa awatunze kama bado hawajaolewa.
Mbona mnalazimisha sex kabla ya ndoa kwa nini msisubiri Kama mababu zetu
 
Akishawekeza kwako wewe unawekeza nini kwake? Kupanua miguu tu?

Mavazi yako unataka mwanaume ashiriki.
Kula kwako unataka ashiriki,
Makazi yako unataka ashiriki,
Makazi yako unataka ashiriki,

Kinachoshangaza zaidi hata wale wanaofanya kazi wanajigeuza wategemezi. Wewe unachangia nini kwenye mahusiano?
Kuzaa
 
Najua huwezi kuamini kwa sababu ya standard uliyoizoea ila independent ladies with beauty and brains wapo. Na haijalishi wapo kwa nadra kiasi gani ila wapo

Kuna wengine pia wanaopewa push na wanaume ambavyo unapenda kusikia, hao ndio wengi zaidi ila huwezi walaumu. Kama wanafanya mambo makubwa na wanaume zao wakaongeza nguvu. Kuna ubaya gani

Ila wale wanaoona uzuri ndio kila kitu huwa wanafanywa nini mjini zaidi ya kutumiwa na kupewa bata refu bila kupewa asset yoyote ya maana..
Mbona sijasema ambavyo wee umesema, [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii umeitoa wapii? Woiiiiiih
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Siwezi kusifia kwa kitu ambacho nimekigharamia.... Yaani nikupendezeshe kisha nikusifie umependeza? kwa pesa yangu?
 
Back
Top Bottom