"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Hivi wanawake wa kiafrika nani aliwaambia muwe mnawaomba pesa wanaume?
Yaani wewe mwanamke, mtu mzima unataka pesa za mwanaume uliyekuwa naye kwenye mahusiano uwe na maamuzi nazo, ili iweje?
Unajua huyo mwanaume anazipata wapi hizo pesa?
Unajua ana majukumu gani kifamilia?

Mwanaume akikupa pesa zake wewe jua hiyo ni hisani tu, halazimiki wala kuwajibika.
 
Upo sahihi cutelove

Unapoamua kumtongoza mwanamke awe mpenzi wako au mke wako ina maanisha umejimilikisha, na umeziba milango ya wanaume wengine kuingia.

Sasa kama umejimilikisha alaf hutaki kuhudumia, ndo una maanisha nn??

Si uwaachie wenzako wanaoweza kuhudumia, hapa naamisha chakula, malazi na mavazi

Mi huwa najisikiaga raha sana nikimnunulia mpenzi wangu gauni akalivaa likampendeza, au nikimpa hela akaenda kushonesha kwa fundi, siku mkiwa na mtoko hata ukimsifia sio wewe tuu utakayesikia raha, hata yeye mwenyew, ile furaha anayojisikia kwamba nimependezeshwa na mpenzi wangu inazidi kuongeza upendo na heshima kweny mahusiano yenu.

Tuacheni kukwepa majukumu, katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, mwanaume lazima u-play part kubwa kuzidi mwanamke.
 
Kama kupendeza kwangu kutakuwa ni ombaomba,kazi yako kwangu ni sex: umarioo huo,kweli wanaume walikuwa enzi za mababu zetu walahi!!!! Ko wewe unataka sex tu,kisa ukiomba kitu fulani utaitwa ombaomba na mwanaume!!!!!!!🤣🤣🤣
Jiulize bibi yako aliomba nini kwa babu yako ili atoe tunda?😁 Utagundua alisifiwa sifiwa tu na kutwishwa ndoo ya maji mtoni.. Sasa wewe uhalali wa kuomba omba hela unautoa wapi?

Kwamba kipindi cha bibi yako nguo zilikuwa hamna? Au wao walikuwa hawavai. Acheni kuhalalisha uyatima kwa kigezo cha mapenzi.
 
Upo sahihi cutelove

Unapoamua kumtongoza mwanamke awe mpenzi wako au mke wako ina maanisha umejimilikisha, na umeziba milango ya wanaume wengine kuingia.

Sasa kama umejimilikisha alaf hutaki kuhudumia, ndo una maanisha nn??

Si uwaachie wenzako wanaoweza kuhudumia, hapa naamisha chakula, malazi na mavazi

Mi huwa najisikiaga raha sana nikimnunulia mpenzi wangu gauni akalivaa likampendeza, au nikimpa hela akaenda kushonesha kwa fundi, siku mkiwa na mtoko hata ukimsifia sio wewe tuu utakayesikia raha, hata yeye mwenyew, ile furaha anayojisikia kwamba nimependezeshwa na mpenzi wangu inazidi kuongeza upendo na heshima kweny mahusiano yenu.

Tuacheni kukwepa majukumu, katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, mwanaume lazima u-play part kubwa kuzidi mwanamke.
Ulichosema ni sahihi ila angalia hio scenario nzima kama kuna nyakati yeyote mpenzi wako alifungua bakuli na kusema joyboy nipe hela ya kusuka, nipe hela ya iphone na kubandikia kucha.

Mwanamke ujiskie kumpa wewe sio alazimishe kama cutelove
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Ina maana kupendeza kwa hisani ya jeshi la waasi porini ndio waseme hivyo!
 
Na ukiona mwanaume anakomalia sex kabla ya ndoa ogopa huyo mtu Kama virus ,anataka uwe single mom
Hizi ndio huwa fikra za kipuuzi sana za wanawake kudhani kitu pekee anachoweza kuchangia kwenye mahusiano ni SEX tu

Mama kwenye ndoa wanaume hawaoi kwasababu watapata sex tu........ sex unaweza pata hadi ukazikimbia mwenye hata bila ya ndoa

Simaanishi umvulie kufuli kila mwanaume anayekuomba, namaanisha mwanaume ili akuoe inabidi umuonyeshe kile unachoweza kumu offer kwenye maisha yenu na sio sex

Ninyi ni aina ya wanawake ambao mtanunuliwa wigi na simu na kutolewa out ili mgawe uroda lakini sio wanawake wa kuolewa
 
Wajibu wako kwangu ni nini sex tu basi kwa sababu najilisha na kujipendezesha,msipende mitelemko
Sasa kujipendezesha si maamuzi binafsi hata ukiamua kukaa rafu kama kutiwa utatiwa tu😁! Kujilisha ni wajibu wako kama mtu mzima sasa ulitaka nani akulishe kama ushahama kwa wazazi wako? Kama huwezi kujilisha rudi nyumbani ukawe mtoto mwema.
 
Ulichosema ni sahihi ila angalia hio scenario nzima kama kuna nyakati yeyote mpenzi wako alifungua bakuli na kusema joyboy nipe hela ya kusuka, nipe hela ya iphone na kubandikia kucha.

Mwanamke ujiskie kumpa wewe sio alazimishe kama cutelove
Unajua mwanang mi ninachojua ni kwamba mahusiano mazuri yanachangiwa na mawasiliano mazuri baina yenu, kama huwez kuongea na mwenzako vizur ukajua changamoto zake bac hayo mahusiano hayatofika mbali, mwanamke anayekupenda sio rahic sana kukwambia changamoto zake zinazohitaji pesa, ataonyesha kutokuwa na furaha tuu, hadi umchimbe sana ndo atakwambia, cause anaogopa anaweza kukwambia ukaanza kumbadilikia maana wanaume wa sikuiz tupo sensitive sana tukianza kuombwa hela.

Sasa kaka Extrovert kama unasubiri hadi ujisikie ndo umpe, usipojisikia je??
Mwenzako huku anaendelea kunung'unika tuu, and trust me broo wananung'unika sana moyoni kwasababu nature ya mwanamke ni kupokea, asipo pokea anaona hapendwi na hathaminiwi.
 
Uzuri mmoja wanawake ambao naingiaga nao kwenye mifumo ya mapenzi wengi huwa wana vyanzo vya pesa pia hivyo sio malofa by 100%! Hio ni standard nimejiwekea ili kuepusha manung'uniko hayo unayosemea.

Tunakutana sababu ya kufurahishana tu sio kubebeshana mizigo sababu kila mmoja wetu yuko independent na maisha yake. Mi niko real huwa sinaga kujivunga ntalipa bills ntapoishia mwenzangu ataendelea and its like that.

Ule ujinga wa kujifanya mimi Mungu muweza wa yote sinaga and i like it like that. Atakaeona mambo magumu basi ajiengue tu.
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Dada,

Bei elekezi ya mbunye maduka yote nchini (unapewa na risiti ya EFD ukipenda) ni kati ya Tsh 2,000 mpaka 20,000 kulingana na chimbo. Wewe unataka nikugharamie kuanzia kula, kuvaa, vocha, simu, usafiri, saluni nk. Una nini cha ziada ambacho siwezi kukipata kwa 10,000?
 
inasikitisha sana kama bado una mtegemea mwanaume.

jifunze kujitegemea... na uache umalaya wa chini chini .

ukihitaji matunzo olewa na ata atae kuoa nae awe 80% na 20% ni zako
1714136173422.jpg
 
Back
Top Bottom