"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Why they do need my body? They should make up
We ni muuzaji kama wauzaji wengine. Kila mmoja apambanie kombe lake.
Mwanamke mtegeme kuni sehemu zake za siri zitapata shida sana.

Tafuta kazi ya kufanya acha kuwa tegemezi kwa mwanaume...kwa maana nyingine acha tabia ya kuwa m.a.l.a.ya na kujiuza .
Kwani kupendeza hadi akupendezeshe mwanaume? Zero Brain kabisa
 
Ukiona MTU analalamika kwa haya mambo usioe wala kuolewa naye

Chakula
Nguo
Makazi

Hayo ndo mambo rahisi kuyapata hapa duniani ukiona MTU analalamika Sana kuhusu ,chakula,nguo, sehemu ya kulala basi ujue hauna mwanamke.
Na ukiona mwanaume anakomalia sex kabla ya ndoa ogopa huyo mtu Kama virus ,anataka uwe single mom
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Lakini sisi ni ma superwoman si eti,,,,haina haja ya kuhudumiwa.

Mahusiano siyo Ajira,
 
We ni muuzaji kama wauzaji wengine. Kila mmoja apambanie kombe lake.
Mwanamke mtegeme kuni sehemu zake za siri zitapata shida sana.

Tafuta kazi ya kufanya acha kuwa tegemezi kwa mwanaume...kwa maana nyingine acha tabia ya kuwa m.a.l.a.ya na kujiuza .
Kwani kupendeza hadi akupendezeshe mwanaume? Zero Brain kabisa
Acha umariooo! Mtatunziwa sana na Kama ndivyo kuwa hanithi
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Tujitahidini sana kuwafundisha mabinti zetu kwamba wao ni binadamu kamili na wenye uwezo kama binadamu yeyote kujitafutia mahitaji yao
Watambue kuwa mwanaume ni partner tu na sio mtu wa kuwasimamia basic needs zao za maisha

Waachane na mentality za akina cutelove za kudhania K zao ni kitega uchumi
 
Acha umariooo! Mtatunziwa sana na Kama ndivyo kuwa hanithi
NAKAZIA WEWE NI PROFESSIONAL PROSTITUTE!
huna tofauti na wale wanaojiuza pale buguruni, ubungo River side, Sinza au kinondoni n.k

Mwanamke anayejitambua na kutambua thamani ya mwanaume wake hawezi kuwa mjinga kwa kusema eti mwanaume wangu ananisifia wakati hajachangia kunipendezesha.
A real man ana mambo mengi sana ya msingi ya kufanya kwa ajili ya familia kuliko hivyo vidogo unavyoviona wewe ni vya msingi.
In other words wewe sio mwanamke wa kuolewa au wa kujenga familia bora , wewe ni toxic in any relationship
NB jamani naomba msiingilie nimeshanunua hii league na huyu professional Prost.t.te

NIMEKAAA PALEEEEE
 
Back
Top Bottom