Huyo kama sio mumeo.....basi huo sio wajibu wake, Mwanaume anawajibu wa kumtunza mke wake wa ndoa.....Wajibu wa mwanaume siyo kukwepa majukumu,mpendezeshe msifie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kama sio mumeo.....basi huo sio wajibu wake, Mwanaume anawajibu wa kumtunza mke wake wa ndoa.....Wajibu wa mwanaume siyo kukwepa majukumu,mpendezeshe msifie
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Hapo ndo tunapo tofautiana, wewe unaona mzigo ila mm sioni mzigo kwasababu nimeamua kijimilikisha.Tunakutana sababu ya kufurahishana tu sio kubebeshana mizigo sababu kila mmoja wetu yuko independent na maisha yake.
Na kwanini uombeombe hela mwa mtoto wa mwanamke mwenzio
Mbona unautaka na huutunzi?
My life goals, nitamfundisha dear daughter kuwa yeye sio kundi maalum. Ni binadamu kamili ambaye hatakiwi kuwa tegemezi kwa basic needs kama mlo na muonekano. Kiufupi mwanaume ni patner na sio solution ya matatizo madogo kama hayo
Na huu sio msimamo wangu ila ni maisha waliyoishi bibi, shangazi na mama zangu. Kwa hiyo asitafute laana yao
Hata mi sitaki kuziona zake ila kuna majukumu nimempa atazitumia huko. Mi sifugi mwanamke kama mfugo, lazma awajibike nje ya sex.Hapo ndo tunapo tofautiana, wewe unaona mzigo ila mm sioni mzigo kwasababu nimeamua kijimilikisha.
Hata mm mpenzi wangu anafanya kazi ila hela zake ni za kwake, mimi sitaki hata kuziona.
Wajibu wa mwanaume siyo kukwepa majukumu,mpendezeshe msifie
Sijui kwa wanawake wa siku izi wanaona ni Haki yao kila wanachoombwa wapewe!!!Yan hawana tofaut na watot wadogo kweny uwezo wa kufikir
Hata mi sitaki kuziona zake ila kuna majukumu nimempa atazitumia huko. Mi sifugi mwanamke kama mfugo, lazma awajibike nje ya sex.
Mkuu tatizo huwa sio kumpa hela mwanamke...... Tatizo ni namna mwanamke anavyotaka umpe hizo helaUnajua mwanang mi ninachojua ni kwamba mahusiano mazuri yanachangiwa na mawasiliano mazuri baina yenu, kama huwez kuongea na mwenzako vizur ukajua changamoto zake bac hayo mahusiano hayatofika mbali, mwanamke anayekupenda sio rahic sana kukwambia changamoto zake zinazohitaji pesa, ataonyesha kutokuwa na furaha tuu, hadi umchimbe sana ndo atakwambia, cause anaogopa anaweza kukwambia ukaanza kumbadilikia maana wanaume wa sikuiz tupo sensitive sana tukianza kuombwa hela.
Sasa kaka Extrovert kama unasubiri hadi ujisikie ndo umpe, usipojisikia je??
Mwenzako huku anaendelea kunung'unika tuu, and trust me broo wananung'unika sana moyoni kwasababu nature ya mwanamke ni kupokea, asipo pokea anaona hapendwi na hathaminiwi.
Unakuta boy wake anapambana hata wapate kapagala ka kujihifadhi ila lenyew linawaza kuvaa vizur ili likawavutie wanaume wengine huko..wa dizain hii ni kuwajaza kwenye lorry moja na kumwagia kwenye mto wenye mambaa...wanachangia sana kuharbu hiki kizazNa hakuna chochote wanachofanya au kuongeza value Yao,
Mkuu tatizo huwa sio kumpa hela mwanamke...... Tatizo ni namna mwanamke anavyotaka umpe hizo hela
Just imagine mwanamke anakasirika kuambiwa kapendaza kwasababu mwanaume aliyemuambia hajanunua yeye hilo gauni na wigi...... tafsiri yake ni kwamba ni wajibu wa mwanaume kumgharamikia kila kitu huyo mwanamke ili akiambiwa asikasirike.
Mkuu watu wanahonga mwanamke hadi unaogopa sio kwasababu wameombwa tu, ni kwasababu mwanamke amemuonyesha mwanaume umuhimu wake zaidi ya kumpa sex
Ukweli ni kwamba wanawake wengi sana ni wavivu hawana kazi za kufanya, kitu pekee anachokitegemea maishani mwake ni kupata mwanaume amuo ili abebe jukumu la kumuhudumia.... HII NDIO NDOTO YAO KUBWA
Good hii dunia ya leo kila jinsia inatakiwa kufundishwa kujitegemea, hata wanaume wanatakiwa kufundishwa kujitegemea kwenye vitu vidogo vidogo kama house chores, wanawake kuwa tegemezi kulitokana na mgawanyo wa majukumu uliowekwa na wazee wetu kwahiyo wote wabadilikeMy life goals, nitamfundisha dear daughter kuwa yeye sio kundi maalum. Ni binadamu kamili ambaye hatakiwi kuwa tegemezi kwa basic needs kama mlo na muonekano. Kiufupi mwanaume ni patner na sio solution ya matatizo madogo kama hayo
Na huu sio msimamo wangu ila ni maisha waliyoishi bibi, shangazi na mama zangu. Kwa hiyo asitafute laana yao
Huyo ndugu yako asiposifiwa na yeyote, mwambie asiende kwa sangoma au uturuki.......Hii wiki wanaume wa humu wanapitiwa na vimbunga hadi sio poa.....
Ngoja watoke church make wengi ni waimba kwaya.
Hata Mimi nasubiri akujibu Hili swali!, ila analipita anajifanya halioni😁😁
Kabisa.. Dunia imebadilika na sisi inabidi tubadilike. Fikiria mtoto wa kike yupo extremely dependent kiasi hicho, akikutana na manyanyaso makali kwenye ndoa au mume wake akayumba kiuchumi, atafanya niniGood hii dunia ya leo kila jinsia inatakiwa kufundishwa kujitegemea, hata wanaume wanatakiwa kufundishwa kujitegemea kwenye vitu vidogo vidogo kama house chores, wanawake kuwa tegemezi kulitokana na mgawanyo wa majukumu uliowekwa na wazee wetu kwahiyo wote wabadilike
Hivi mbona kwenye masuala ya kupewa ngono, heshima pamoja na kufanyiwa baadhi ya majukumu humo kwenye mageto yenu huwa hamsubiri hadi muoe, huwa mnataka wapenzi wenu watimize majukumu yote ya mke ila ninyi hamtaki kutumiza majukumu ya mume eti hadi muwaoeMke tunatunza vizuri tu, lakini nyie mnotaka kutunzwa kwenye mahusiano yasiyo rasmi ndio tunawaita mbwa na omba omba.
Watanipiga ban mkuu😂😂😂Umesahau kile kimdudu.