Upo sahihi
cutelove
Unapoamua kumtongoza mwanamke awe mpenzi wako au mke wako ina maanisha umejimilikisha, na umeziba milango ya wanaume wengine kuingia.
Sasa kama umejimilikisha alaf hutaki kuhudumia, ndo una maanisha nn??
Si uwaachie wenzako wanaoweza kuhudumia, hapa naamisha chakula, malazi na mavazi
Mi huwa najisikiaga raha sana nikimnunulia mpenzi wangu gauni akalivaa likampendeza, au nikimpa hela akaenda kushonesha kwa fundi, siku mkiwa na mtoko hata ukimsifia sio wewe tuu utakayesikia raha, hata yeye mwenyew, ile furaha anayojisikia kwamba nimependezeshwa na mpenzi wangu inazidi kuongeza upendo na heshima kweny mahusiano yenu.
Tuacheni kukwepa majukumu, katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, mwanaume lazima u-play part kubwa kuzidi mwanamke.