Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Kwahiyo huo mwili wako kutakwa na matunzo vinahusianaje. Kama unahisi anafaidi sana basi usiwe unapendeza halafu tuone kama takuacha.Mbona unautaka na huutunzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huo mwili wako kutakwa na matunzo vinahusianaje. Kama unahisi anafaidi sana basi usiwe unapendeza halafu tuone kama takuacha.Mbona unautaka na huutunzi?
Kuna wanawake wanajitahidi sana kutowabebesha wanaume mabili ya kipuuzi siku hizi. Ni ajabu sana kuona bado kuna mabinti anakaa chini na kuandika uzi wa lawama kulaumu watoto wa watu kwa umasikini aliorithishwa na wazazi wake.Kila mtu lazima awe responsible na furaha yake kwanza usisubir mtu mwengne akufurahishe ndo ufurai
Neno la msingi hapo ni kutegemeana sio kukomoana au kutishana na kulazimishana.Tunaishi kwa kutegemeana
Kwanza inatakiwa 50% iliyobakia atoe baba yake. Mtu ambaye sio mzazi wako akikuweka kwenye bajeti zake unatakiwa kumheshimu sana.Kwani mrembo iwapo your Man has paid 50% na you paid the remaining 50% Kuna tatizo akikusifia.
Wakati mwingine shukuruni hata Kwa hiko kidogo ambacho mnapewa, mkikutana na Timu ya "Kuna hela naisikilizia" hupewi hata mia mbovu [emoji12][emoji119]
Kuweni na Moyo wa shukrani Kwa Wanaume wanaojitoa kwaajili yenu
Then subiria mvua inyeshe mbona mauwa pori yanaishi kwa mvua na hayamwagiliwi wala nini ila yanachanua vizuri kabisa.Mwanamke ni ua muda wote linahitaji maji ili lizidi kuchanua
Umbwaa mkaldayo Chaliifrancisco hela zote za mbusii anaowauza mnadani anahonga.Hii wiki wanaume wa humu wanapitiwa na vimbunga hadi sio poa.....
Ngoja watoke church make wengi ni waimba kwaya.
Mbna lawama nyingi si umuache huyo jamaaUnakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Ndio kwahiyo kama mwanaume hatimizi majukumu kwa mwanamke wake basi asitegemee na mwanamke naye atimize majukumu kwake haijalishi majukumu gani
Jukumu na huruma ni vitu viwili tofauti unavichanganya. Hapo unatafuta huruma ya lazima halafu unahisi ni jukumu la mtu wakati sio jukumu lake.Usikwepe majukumu yako kwa visingizio
Tunataka mtulize vichwa vyenu na kusikiliza namna tunapanga mikakati ya kutukwamua katika ugumu huu wa maisha.Ko huwa mnataka nini kwetu sisi kupiga na kuondoka au
Sasa sex unaona ni kitu muhimu cha kushindanisha na hela? Pesa zinaenda zikiongezeka mwili unaenda ukizeeka. Wewe ukizeeka utatoa nini sasa kwa wanaume ili upewe hayo mahitaji unayoforce kupewa as if baba yako aliacha mirathi yake kwa wanaume?Wajibu wako kwangu ni nini sex tu basi kwa sababu najilisha na kujipendezesha,msipende mitelemko
Mbusii. Nauza kuku next week wewe umbwa nakufata huko ukaldayoniUmbwaa mkaldayo Chaliifrancisco hela zote za mbusii anaowauza mnadani anahonga.
Umarioo ni kutegemea pesa na mali za mwanamke kuishi na sio kulala na mwanamke.Kama kupendeza kwangu kutakuwa ni ombaomba,kazi yako kwangu ni sex: umarioo huo,kweli wanaume walikuwa enzi za mababu zetu walahi!!!! Ko wewe unataka sex tu,kisa ukiomba kitu fulani utaitwa ombaomba na mwanaume!!!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]