"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Ndo tunapima kama utaajibika kunitunza utakaponioa au utanioa niende kuzeeka mapema ,Kama uchumbani uliajibika ipasavyo huko mbeleni ni raha,Kama uchumbani uliniita ombaomba huko mbeleni ni majanga
Unataka ujue matokeo kabla ya kufanya mtihani? Unatakiwa kwanza uishi ndipo ujue uwezo wa mwanaume sio akuonyeshe sasa atakuonyesha hadi lini yaani kila siku awe anakununulia tu vitu ili wewe ndio ujiskie umekamilika? [emoji848]
 
Hapo ndo tunapo tofautiana, wewe unaona mzigo ila mm sioni mzigo kwasababu nimeamua kijimilikisha.

Hata mm mpenzi wangu anafanya kazi ila hela zake ni za kwake, mimi sitaki hata kuziona.
Unajimilikisha malaya, we unatoa hela ya service, wahuni wanakula for free.

We endelea kutunza chakula cha wote.
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru

Vijana pigeni sana sala, hawa ndo wanawake mnqoenda kuoq, na hizi ndo akili zao.
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Kwani nikikusifia napata nini atiii???? Gharama zangu kwako ziandane na ninachokipata!
 
Good hii dunia ya leo kila jinsia inatakiwa kufundishwa kujitegemea, hata wanaume wanatakiwa kufundishwa kujitegemea kwenye vitu vidogo vidogo kama house chores, wanawake kuwa tegemezi kulitokana na mgawanyo wa majukumu uliowekwa na wazee wetu kwahiyo wote wabadilike
House chores linabaki kuwa jukumu la mke, solely for her, hapo hakuna mjadala🤣
 
Back
Top Bottom