"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Malaya ni malaya tuu, well ukiwa na mwanaume na anajua hali yako, na anakupenda atakupimia kadiri ya uhitaji wako, huku malengo mengine ya maisha yakiendelea, ila ukitaka upewe hela ndio usifiwe utaishia kuliwa kiboga kwa 7800

Hii ndio sababu wanawake wengi wanajiuza bila kujua wanauza K, huyu akimuahidi kikoba anakula, huyu gauni, huyu kodi, huyu pizza utasema kwao hali chakula
 
Mkiweka mahari kubwa tu, imekula kwenu 😅
Kwa kweli hatuna jinsi zaidi ya kukubali tu 🤗

Ndiyo maana Zamani ilikuwa unalipa Posa na mahari ndiyo unapewa Mke

Siku hizi mnaonja na kuonja kabisa, ili kumzuzua Binti yetu mnatumia hadi asali ili mtoto wa watu Kila saa awe anakuwaza wewe tu 😜
 
Kwa kweli hatuna jinsi zaidi ya kukubali tu 🤗

Ndiyo maana Zamani ilikuwa unalipa Posa na mahari ndiyo unapewa Mke

Siku hizi mnaonja na kuonja kabisa, ili kumzuzua Binti yetu mnatumia hadi asali ili mtoto wa watu Kila saa awe anakuwaza wewe tu 😜
Hatujaonjana! Kasema hadi siku ya ndoa
 
Hatujaonjana! Kasema hadi siku ya ndoa
Afadhali Kwa kweli, maana Wazee tulishaanza kuwaza itakuwaje Siku ya Ndoa yenu wakiwatandikia shuka Jeupe kuangalia kama ipo ama haipo 🤗

Sasa tuna uhakika wa asimilia 100 kwamba yaliyomo yamo 😜
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Punguani
 
Very true,
Unajua wanawake wanastory nyingi sana za uongo wakikaa huko salun na kwenye magroup Yao

Na uwa hawaambiani ukweli yan hawatoi codes

Unakuta dem anasema mtu wangu kaninunulia gari, ila hasemi kuwa last 2 months mtu wangu alikuwa broke, nikauza cheni zangu, nikamkopea ela vikoba,

Now mambo yake Safi ameninunulia Prado

Sasa wanawake wale wajinga wanajua Prado imepatikana Kwa kuvua nguo tu
Hata hawa wa humu wanachuuzana tu hakuna reality. Lakini kuna vichwa maji wanaingia mkenge.
 
Hatulalamiki hata kidogo, ila dynamics za maisha zimebadilika kidogo.
Hizo dynamics zibadilike kote sasa na siyo kwenye majukumu ya mwanaume tu, kama mnaamua kuchagua haki sawa basi na majukumu yawe sawa kwa wote isipokuwa yale ya kimaumbile tu, na kama mnaamua kuchagua mfumo dume basi timizeni majukumu yenu na wanawake watimize yao tofauti na hapo mtaendelea kuwalaumu wanawake tu hadi mwisho wa dahari
 
Back
Top Bottom