"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Sasa sex unaona ni kitu muhimu cha kushindanisha na hela? Pesa zinaenda zikiongezeka mwili unaenda ukizeeka. Wewe ukizeeka utatoa nini sasa kwa wanaume ili upewe hayo mahitaji unayoforce kupewa as if baba yako aliacha mirathi yake kwa wanaume?

😂 😂
 
Hamnaga shukrani nyie,nakununulia nguo na juma unaenda kuvuliwa na james si bora nile kitimoto choma tumbo lipendeze!!wanawake baadhi ni too selfish!
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
cocastic umependeza leo
 
Back
Top Bottom