"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Ongezeko la single mothers, wengi upeleka lawama kwa wanaume kwamba ndio chanzo Cha tatizo, ila kwa kupitia mtoa mada, inaonesha wazi tatizo lilipo.

Sasa kama mwanamke aliyekamaa akili anaamini jukumu lake kwenye mahusiano ni kuzaa, no wonder why idadi ya single parents inaongezeka. Maana akishazaa, anaamini amemaliza majukumu yake.

Safari bado ni ndefu kuliko ilivyofikiriwa.
 
Unamzalia au unazaa, tukiweka mbali hizi traditions za kuona mtoto hususani wa kiume kama muendeleza ukoo wa mwanaume

Je, wewe hao watoto huwahitaji

Je, hao watoto utawatotoa kama incubator halafu utamuachia mwanaume baada ya kuwazaa

Je, hao watoto wakikua hawatokusaidia kaa lolote, mind you watoto wengi wakikua huwa wanamuona mzazi wa kike zaidi kuliko wa kiume

Hivyo, unaweza kusema kuwa watoto hawatokufaidisha chochote
 
Nawe mkuu why una muuliza mtoa mada maswali magumu magumu 🤨
Kwa mwanamke anayejielewa ilo sio swali gumu hata kidogo. Yani leo hii mtu akuulize majukumu yako ni yapi kwenye mahusiano/familia yako then useme ilo ni swali gumu? Ukiona umeshindwa kulijibu ilo swali kwa majibu yenye mashiko then tambua bado upo kwenye phase ya kuliwa na kumove on, muda wako wa kusettle bado.

Ajabu ni kwamba, wengi akili zinafunguka wakishakuwa na watoto wawili wa baba tofauti.
 
Kwahiyo kila Mwanaume unayekutana nae na akakutaka hua upo tayari kumzalia tu? utazaa watoto wangapi? au una lengo la kuja kuanzisha Kijiji chako cha watoto mchanganyiko?
Lengo la mahusiano ni kuzaa, wanaume ni watu wa kushangaza kweli,wewe unataka tusex ili iweje na huku ukijua fika kuwa matokeo ya sex ni kuzaa
 
Ongezeko la single mothers, wengi upeleka lawama kwa wanaume kwamba ndio chanzo Cha tatizo, ila kwa kupitia mtoa mada, inaonesha wazi tatizo lilipo.

Sasa kama mwanamke aliyekamaa akili anaamini jukumu lake kwenye mahusiano ni kuzaa, no wonder why idadi ya single parents inaongezeka. Maana akishazaa, anaamini amemaliza majukumu yake.

Safari bado ni ndefu kuliko ilivyofikiriwa.
Ko unataka nikuzalie mtoto at the same time nijilishe,nijipendezeshe,ko kazi yako tia mimba baba usepe🤣🤣🤣🤣
 
Tofautisha gari na mwili wa mtu,ndo maana anatumia gari ili apate mwili wa mtu fulani,
Inaonekana umetawaliwa sana na Materialistic na sio humanity,
Kumbe Gari ambayo ni machuma tu yanaweza kukufanya kupata mwili wa mtu? kwahiyo wewe unaona Gari ina thamani kuliko mwili wako? unaonekana unauzika kwa bei rahisi sana na kwa vitu vidogo sana,badili Mindset yako haraka sana na uijue thamani yako.
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
NA WEWE ULIMFATIA NINI NA HAJACHANGIA KUPENDEZA KWAKO NENDA KWA HUYO ALIYEKUPENDEZESHA🤣🤣🏃🏽‍♂️( samahani nimekufokea ni akili za kisungura🙏🏼)
 
Ila wanawake mnatisha sana. Mara hatuna hela, mara hamfikishwi kileleni, mara hatuwafànyi vizuri, mara hatuwasifiii, yaani shida tupu. Mtatuua mbaki peke yenu. Wachungaji wote kwa sasa ni kuhubiri mapenzi kuhusu wanaume. Dah!
 
Back
Top Bottom