Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Ongezeko la single mothers, wengi upeleka lawama kwa wanaume kwamba ndio chanzo Cha tatizo, ila kwa kupitia mtoa mada, inaonesha wazi tatizo lilipo.
Sasa kama mwanamke aliyekamaa akili anaamini jukumu lake kwenye mahusiano ni kuzaa, no wonder why idadi ya single parents inaongezeka. Maana akishazaa, anaamini amemaliza majukumu yake.
Safari bado ni ndefu kuliko ilivyofikiriwa.