Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa
Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu anapost Ni vinyoa viduku viduku Mara chache Sana amempost shoga zake wengi Ni wanaume
Mkp SAS HV naogopa kuview post zake kwa kuogopa kulumbana nae. Nawaza nimpig chini tu ila SAS tuko hatua za mwsho kuoana
Nikimuuza nani k huyu aatsema rafiki angu tu au wamesoma nae atasema kak alikuwa ananisaidia sana hesabu
VIP nitulie tu au Ni chukue hatua Kali