Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa
Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu anapost Ni vinyoa viduku viduku Mara chache Sana amempost shoga zake wengi Ni wanaume.

Mpaka sasa hivi naogopa kuview post zake kwa kuogopa kulumbana nae. Nawaza nimpigie chini tu ila sasa tuko hatua za mwisho kuoana

Nikimuuza nani k huyu atasema rafiki angu tu au wamesoma nae atasema kaka alikuwa ananisaidia sana hesabu

VIP nitulie tu au nichukue hatua Kali
Mpokonye simu ama laah na wewe post wanawake akiuliza mwambie huyu alikuwa ananisaidia kufua wakati niko chuo mwingine tena akiuliza mwambie huyu alikuwa ananisaidia chabo kuandika kwa mapaja, asipo acha njoo unipige nimekaa hapa mloganzira
 
Si wee umtulize, unashangaa shangaa nn? Au jogoo hawiki nn?
Em sema ukweli usaidiwe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweeeeeeeeh mbona hivo tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bichwa hajawahi tulia hata mara moja aiseeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom