Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna watu wana Certificates tu lakini maisha wamewin. Wanaendesha maisha vizuri sana. Msing'ang'anie kusoma program ambazo zitawaweka mitaani.
Unatakiwa tu uwe umeamua kuacha kutumia akili kabisa. Utumie tu ulimi kulamba makalio ya wakubwa na sole za viatu vyao in Public.
Hutakiwi kuwa na msimamo angalia tu uelekeo wa upepo ulivyo unaufuata huko huko.
Niamini ukiweka na kauvumilivu kidogo unakula shavu. Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya,katibu,ukurugenzi,teuzi nyingi nyingi tu.
Wapo arse kisser wazuri humu kwa muda sasa kuna siku watashika vitengo mtashangaa.