Tungi,nasikia anashusha ma Jibapa hata mawiliDaah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.
Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
Mi nataka kuona, ila sharti waongee Kiingereza.Khaa!, hapana bwana why?!
Anyways, nisihoji sana. Maana naona comments kwenye thread ya mheshimiwa zinachujwa to the max.
Kwa niniunasema hivyo?Haki mbaya wewe!
πππππππ
Bongo bhana... kukandya ndiyo jadi yetu.. mara "usidanganywe na nywele za singa..", mara P.Mayall aliongea hii kitu.... wakati kila mtu ana yake anayoyafanya asipokuwa public... tena maovu.. maana tungi na sigara havijawahi kuwa uovu hapa bongo.. sanasana ndo vinagombewa na kila bajeti ya mwaka kuboost mapato ya serikali...
Jaffaray ana maisha yake na mtoto kapata kwa demu mwinginemaskini Jaffarai Mziki umemshinda, Na huyu dada pia kamshindwa......
Daah fursa hii, tatizo sina madaraka ya kulevyaView attachment 834182View attachment 834183
Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa kumuoa mdada fulani, na mwisho mdada huchagua mwanaume anae ona anafaa.
Shyrose mwenyewe alianza kuongelea ndoa kitambo, akisema kahamasishwa na Duchess of Sussex Princess Meghan. Kwa hiyo anakaribisha wakaka wanao ona wanamfaa, (kama program itafanikiwa)
Then at the end, atachagua ataemfaa kama atampenda.
Hope this will work in Tanzania, where individuals with this kind of confidence are rare.
She has the guts!
View attachment 834186
Ukianza Sukuma accent tunakupeleka Sagulaga.Hahaha!, just don't exit the room at my kisukuma accent! πππ
Ukianza Sukuma accent tunakupeleka Sagulaga.
Ha mabina, okobina ng'waanike?
Nalehayaa kwiza Nasaaa, aleyoo naledummma
E hela ndohokongono
Ing'ombeee, jamala matungo, nalela masumandaaa...
Abanikee, bapela geteee,batohaya nolo konigeshaa
Pye abanisalee, batohaya konibona, kongono nate nolo nii embulii emooo
Ing'ombee, jamala matungoo, nalela masumandaaa
Nalohaya kwiza kayaa, aleyoo naledumaa
E hela ndoho kongonooo
Ing'ombeee, jamala matungo, nalela masumandaaa
Sipendi wanawake walio kwenye spotlight, maisha yao yanaendeshwa na hisia za mafollowers,Madaraka ya kulevya kivipi tena Mwombeki?!
So long as you're an "ELIGIBLE BACHELOR"
You good to go..
Yaah uko sawa, ila wengi wao, angalia maisha ya wanawake walio kwenye spotlight na upige mzani % ya wangapi wako happy na wangapi wapo miserable, wanawake wana hisia sana so wakipigwa criticism kidogo wanarudi na emotion zao nyumbaniYeah ni kweli. Sio wote lakini.
NitakufuataMimi nitaenda