Bachelorette Shyrose Bhanji

Watu warefu kwenda ardhini wana makeke sana... Hata hivyo ndio nyakati tunazoishi... Uchumba kwa vigezo si mapenzi
 
Umenikumbusha your baby girl Shishi Trump. Haki I love her! 😁


Ila nimeelewakwa nini Shishi anatesa.

The mere guts kukubali hapa nimeshindwa na nahitaji msaada huu kuendelea vizuri nikitu fulani watu wengi hawawezi.

British Councilnao wakaona what a rare opportunity tunampata star wa kibongo awakumbushe watu tupo bado.

Maana kuna watu wanakaa Dar lakini British Council kwao ni kama London vile.

Labda huyu atawafungua macho watu waende pale, we used to go there, USIS Library by Peugeot House and Maktaba ya Taifa, back in the days.

So any publicity for these institutions, is good publicity as far as I am concerned.
 
Yaah uko sawa, ila wengi wao, angalia maisha ya wanawake walio kwenye spotlight na upige mzani % ya wangapi wako happy na wangapi wapo miserable, wanawake wana hisia sana so wakipigwa criticism kidogo wanarudi na emotion zao nyumbani


True, it needs an extra layer of skin kuwa kwenye spotlight, and in the relationship.
Especially kama mmoja sio known ki vile.
Tena na hivi social media iko kila kona sasa.

Lakini huyu bi dada anaonekana strong and carefree. Don't care fulani.
 
Hahahah!, Uwiii!, jamani Kiranga basi nimekosea, my baaad!
I won't speak with a Kisukuma accent, ever again! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahah, ngoja nikachimbue, umeniweza haswa! πŸ˜‚
We najua accent ya rafiki yako V-Money unaiweza, basi mbwembwe tu.

Ukijifanya accent ya Kisukuma ya kulazimisha utajing'ata ulimi bure ukitamka Jigangajilangisang'wanawang'anamalundi.
 
Hayo maneno ya mwisho ukijaribu kuyasoma kama shishi bebe unaweza ukaharibu hadi meno
 


So true!
She did a 360 to something that seemed as her weakness. To the point people suggested lucrative ideas to her, that she should make money out of her cheerfulness.

She's so funny, and she don't sweat it. It just comes out naturally.
Kumbe British council ndio walim approach!
That's nice. Vizuri cos Walipoa sana.
 
We najua accent ya rafiki yako V-Money unaiweza, basi mbwembwe tu.

Ukijifanya accent ya Kisukuma ya kulazimisha utajing'ata ulimi bure ukitamka Jigangajilangisang'wanawang'anamalundi.


Haki umeniweza haswa! 😁

Nimejiona kama kituko sasa na kisukuma.
Gotta up my Game!
 
Haahhahhahaa namtaka mwenye kazi nzuri....... Haya hawa hapa samples. Nacheka kihutu
 
Sasa hichi kibibi sikielewi kwanini bado kipo singo.Ila anaonekana jeuri sana kwa kumuangalia na vile ana pesa ndiyo balaa.
 
Hayo maneno ya mwisho ukijaribu kuyasoma kama shishi bebe unaweza ukaharibu hadi meno
Kuna wakati naona kufakamia zike novels za Charles Dickens wakati zilipokuwa zimenizidi kimo nilifanya jambo la maana sana.

Sikijua kitu ambacho mimi nilikuwa nakiona cha kawaida vile kama kutaka kujua story tu ku
Itakuja kujenga msingi mzuri wa kuondoa ujinga mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…