joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Miaka mitatu si aliamua mwenyewe, kulelewa na mama wa bongo star search hamna aliye mzuia.Miezi 6 kitu gani? King alikaa karibia miaka 3 akatoa wimbo wa Taifa Mwana watu wakaugua visukari kutwa kucha kupishana kwa waganga, unakaa miezi 6 unatoka huu utopolo tena umeiba idea
Konde gang ni kundi la wahuni, ni kama Wcb tu vyuo vya matusi,huyo kili ni kama beki tatu kutwa kutangatanga kwenye majumba ya watu kutafuta kazi za ndani
Huo uto ndio unakimbiza huko kwenye Digital platforms karibia zote.
Duu kwa hiyo Konde leo kundi la wahuni, haya ila Killy sio muhuni, wewe naona sababu yupo Konde haupost thread zake kama ilivyokuwa zamani, sio fureshiiiiiiiiiiiii mwanangu mwenyewe.