Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Jomba una stress kinyama. Huu ni uzi wako ukisema watoto wako umewarejesha English Medium. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Nilibadilisha gia angani. Huhitaji kuwa na PhD kuelewa hilo. Nikudanganye ili iweje?
 
There u are bro
Kitu kimoja ambacho vijana wengi hawakijui kuhusu tofauti za hizi shule ni hiki; saint Kayumba watoto/wanafunzi wana hustle sana kupata matokeo while wale wa Saint watakatifu wanayafuniwa almost everything, wanasaidiwa sana kusoviwa past papers na other question papers; wa Saint Kayumba kwanza hizo past papers ni juhudi zao binafsi, wanatafuta either wanafunzi wa zamani au hata sisi wazazi wao kutafuta majibu ya maswali yaliowashinda ndio maana huko vyuoni ambako hakuna teachings instead walimu wanafanya lecture mengine unakwenda kutafuta mwenyewe, unakuta hawa saint Kayumba ndio wanasumbua. Tazama matokeo ya hizo saints Watakatifu kwenye NECTA both primary schools to A level, matokeo yao huaga yatufanya sisi baba zao tufikirie labda hatukua na akili kama wao, unakuta form 4 point 7 za kumwaga, A level point 3 za kumwaga, vyuoni huko hawana miujiza kabisa; wa kawaida sana. Why? Kule walikua wanatafuniwa, vyuoni ni hustles, hustle ni maisha ya kawaida kwa watoto wa Saint Kayumba. Nina mashaka hata kwenye maisha ya kawaida, sidhani kama wanqeza ku hustle. Kingine cha muhimu sana (hapa naongea kama mzazi ninae elekea kua babu). Watoto wengi wanao soma hizi EM wengi wao hata kupika na kufua nguo zao wenyewe, imagine hadi nguo zao za ndani hawawezi kujifulia, usafi wa nyumba as well. Tuweni makini, wakirudi nyumbani tuhakikishe wanafanya shughuli ndogo ndogo, tusije kuwaandaa watoto wa wengine (house girls) kuja kua wazazi bora halafu watoto wakaja kushindwa. Tuwe makini
 
Labda Kama mtu hana uwezo wa kulipa ada za private schools.
Kingereza cha wanafunzi wengi waliosoma shule za serikali huwa sio kizuri.

Kingereza ni lugha ya dunia na kinafungua milango ya fursa nyingi (hasa za ughaibuni).

Au nimeandika uongo wakuu.
Watafutie English programmes, maana hata hizi private English Yao Tia maji Tia maji
 
Ni braza moja kati ya wasomi wa kitaani kwetu. He was born in 1980. He is 5 years older than me. Darasani alikuwa very smart. Ni wale the cream wa Azania wa Enzi hizo.

To cut story short. Jamaa alikuwa mtumwa mwaminifu wa Shule za Ems. Amepunwa ile kinoma Noma. Kwanza Watoto wawili wa kwanza . Hawa aliendelea kupunwa hadi seco kawapeleka shule wanalipa ada tu milioni 6. Dogo wa kiume kamaliza form four kagoma kwenda Advance kasema anataka kwenda college. Kozi Aliyo ichagua sasa " PROCUREMENT ". Ule utoto aliokuwa anamwambia baba ake alipokuwa primary " Daddy I want to be a pilot, lawyer, Doctor or Engineer blah blah blah" ukawa ume evaporate.

Jamaa alikuwa so much dis appointed . Nakumbuka wakati wa Corona aliwahi niuzia kiwanja kwa bei ya Chanika halafu hela yote akaenda kulipa ada shuleni. Sehemu yenyewe aliyoniuzia kiwanja ni very potential area. Japo kiwanja sio chake ni cha urithi but aliniuzia kwa bei ya chini.

Mwaka mmoja baadae akataka nimtafutie mteja amuuzie kiwanja chake kingine alipe ada za watoto.

Nikamkalisha chini nikampa somo kuhusu shule za Kayumba. Nikamwambia warudishe wanao Kayumba. Watoto watatu sio poa. Mapacha wawili wa kike plus mdogo wa mwisho, kwa kipato chako sio kweli bro. Hata hivyo hakuna umuhimu wowote wa wewe kulipa hela yote hiyo kwa ajili ya Elimu ya msingi ya mtoto.

Toa watoto wako Em walete Kayumba. Mbona Mimi nimewatoa na wako poa tu.

Jamaa akawa inspired na ushauri wangu. Akawatoa watoto wake wote watatu Ems akawaleta Kayumba. Hao mapacha wawili ndio wamefaulu wamepata A zote na mdogo wao anafanya vizuri sana shuleni.


Jamaa kuandika gazeti refu sana ananishukuru mdogo wake kwa ushauri ambao pia umemsaidia kusave pesa na kuinvest kwenye mambo mengine.


Comments za wadau sasa. Kuna comments za watu kama sita ambao nao pia waliwatoa watoto wao Ems wakawaleta Kayumba. Wadau hao wanasema walikuwa inspired na Mimi. Baada ya kuona hadi Mimi nimewarudisha watoto wangu Kayumba. ( Aina ya maisha ninayo ishi na vitu ninavyo vimiliki ambavyo watu wa mtaani kwetu wanavijua, wanaona watoto wangu hawastahili kusoma Kayumba. Mimi kuwapeleka watoto wangu Kayumba ni jambo linalo tengeneza sentensi " kama Likud kawatoa watoto wake Kayumba Mimi nani)

Wengi walio watoa watoto wao Ems na kuwaleta Kayumba wanashukuru sana na wanajilaumu kwanini hawakufanya hivyo mapema.

Hata wewe mzazi unae jistress kulipia mamilioni kwenye shule za Ems wacha mara moja. Haraka sana kimbia kawatoe watoto wako EMS walete Kayumba. Huna sababu yoyote ile ya kujistress kulipa mamilioni huko EMs . N real sense,Shule za Ems hazina umuhimu wala UPEKEE wa aina yoyote ile. Umuhimu na upekee huo umetengenezwa na Wamiliki wa shule za Ems ili waendelee kukupuna.

Mtu muhimu kuliko wote kwenye shule hizo ni wewe mzazi kwa sababu wewe ndo unaelipa ada na ndio sababu kuu kwanini mmimiki kaanzisha shule hiyo.


Kilaza atasema " Likud huna hela "

Situmii hela hovyo kwa sababu ninazo.

Enyi wazazi ambao watoto wenu wamefanya vizuri kwenye shule za Kayumba enyi wazazi ambao mliwatoa watoto wenu Ems na kuwaleta Kayumba na wamefanya vizuri,acheni ubinafsi. Hakikisheni mnashare hizo information kwa watu wengi iwezekanavyo ili kuwatoa usingizini wazazi ambao bado wamelala. Wazazi ambao wana jistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems
Ushauri wako uliutoa tarehe hii
Screenshot_2024-12-31-08-16-48-102_com.android.chrome~2.jpg


Yeye akaja hamisha watoto wake na ku save hiyo pesa tarehe hii... Yaani ndani ya miezi isiyozidi mitatu? Jamani mi ni mgumu kuelewa kiasi hiki?
Screenshot_2024-12-31-08-18-43-524_com.android.chrome~2.jpg
 
Nimesoma shule za serikali tupu, tena za viwango vya chini.
Nimekutana na watu wamesoma shule tofauti wengine seminary, wengine private, wengine kayumba wengine shule za serikali za vipaji. Nimechagua wanangu nikijaaliwa kuwa nao watasoma private.

Classmates wangu na collegemates wangu waliofanikiwa ni waliotoka private schools zaidi.
Mtu ametokea shule aliyokuwa anabeba mavi ya ng'ombe kupanda migomba ya mwalimu awe na future career sawasawa na mtu alikuwa anapelekwa tour kutembelea airport control tower au engine room ya meli?

Hunidanganyi kitu nimeona kwa experience mwenyewe. Kama vipi twende shule ya msingi Mchikichini nikuonyeshe sehemu ya mapumziko ya wanafunzi ambapo wana-share na wavuta bangi wa mabondeni kule.
Aya sasa, wakubwa zao wa sekondari ndio wameambulia hizi sifuri na four kwenye matokeo ya jana. Watatu wenye III si ajabu wakatupiwa majini
1737660144684.png

Sijui bado mtapeleka watoto wenu kwenye shule zilizokata tamaa au mtawapeleka wapate elimu ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom