Asante sana ngoja nicheki prices mkuuupo Dar es salaam? kiufupi hapo nunua inverter charger ya 500VA na Battery yake walau ya 70AH
utakuja kunishukuru!
ila itabidi ukanunue kwa hawa wajamaa wa www.sunnovatz.co.tz
wapo Nasra tower pale Gerezani kkoo
namba zao ni 0788901672
hakunaa mwenye bei nzuri zaidi ya hawa maana wao ndio wakala mkuu na anauza Genuine from India
Mimi nikionaga kitu kimeandikwa Made in India au China huwa napata mashaka na ubora wake ila ok.upo Dar es salaam? kiufupi hapo nunua inverter charger ya 500VA na Battery yake walau ya 70AH
utakuja kunishukuru!
ila itabidi ukanunue kwa hawa wajamaa wa www.sunnovatz.co.tz
wapo Nasra tower pale Gerezani kkoo
namba zao ni 0788901672
hakunaa mwenye bei nzuri zaidi ya hawa maana wao ndio wakala mkuu na anauza Genuine from India
Toa uzoefu wako mkuuMimi nikionaga kitu kimeandikwa Made in India au China huwa napata mashaka na ubora wake ila ok.
Swali langu hizo Ah inamaanisha nini kwenye Battery ?
Inverter ya 300VA haiwezi kutosha ?
we mwenyewe tu umevaa mchina hapo ulipo! acha dharauMimi nikionaga kitu kimeandikwa Made in India au China huwa napata mashaka na ubora wake ila ok.
Swali langu hizo Ah inamaanisha nini kwenye Battery ?
Inverter ya 300VA haiwezi kutosha ?
hao nimetumia vifaa vyao mwaka wa tatu sasa hivi! haijawah tokea vikasumbua! nenda kkoo angalia Battery ya 100AH ya labda Ritah au sukamAsante sana ngoja nicheki prices mkuu
Sorry naomba nikuulize, hizo watt 140 ni vifaa gani unatumia?Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi
Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.
Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza
Cc Extrovert
PC (sio gaming), Wi-fi na taaSorry naomba nikuulize, hizo watt 140 ni vifaa gani unatumia?
Kama unatumia back up... battery inachukua muda gani kujaa hiyo uliyorecomend?hao nimetumia vifaa vyao mwaka wa tatu sasa hivi! haijawah tokea vikasumbua! nenda kkoo angalia Battery ya 100AH ya labda Ritah au sukam
then kaangalie za hawa sunnova utaona tofauti hata kwa macho na wanatoa warranty 3 to 5 years
140W sio kubwa!PC (sio gaming), Wi-fi na taa
Sawa. Fuata ushauri wa jamaa hapo juu japo siamini kama battery ya 70Ah + inverter itatoboa hayo masaa 7PC (sio gaming), Wi-fi na taa
Share uzoefu wako piaSawa. Fuata ushauri wa jamaa hapo juu japo siamini kama battery ya 70Ah + inverter itatoboa hayo masaa 7
Kama gharama inafika huko milioni 3 zipo ready made powerstation 1Kwh-2Kwh 1M-2M Ya 1Kwh ndo around hayo masaa 7 na 2Kwh ni masaa 14 roughly kwa hio 140w. Something like thisKama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi
Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.
Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza
Cc Extrovert
No mimi nipo kujifunza pia mkuuToa uzoefu wako mkuu
Jibu sasa swali langu mkuuwe mwenyewe tu umevaa mchina hapo ulipo! acha dharau
3,000,000 unaweza tumia nini na nini? Air-conditioning na fan??140W sio kubwa!
Tsh 3,000,000 unakuwa umemaliza kila kitu
hafiki hataa laki 5 gharama zote! acha kumdanganya na mi BEI ya ajabu140W sio kubwa!
Tsh 3,000,000 unakuwa umemaliza kila kitu
Quite breezy!Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi
Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.
Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza
Cc Extrovert
Pitia mahesabu ya mkuu Chenchele hapo chini!hafiki hataa laki 5 gharama zote! acha kumdanganya na mi BEI ya ajabu