Back up system (bila solar) yenye uwezo wa kurun 140 Watts kwa masaa 7 mpaka 10 maximum

Nuru2023

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
608
Reaction score
1,405
Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi

Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.

Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza

Cc Extrovert
 
upo Dar es salaam? kiufupi hapo nunua inverter charger ya 500VA na Battery yake walau ya 70AH

utakuja kunishukuru!

ila itabidi ukanunue kwa hawa wajamaa wa www.sunnovatz.co.tz
wapo Nasra tower pale Gerezani kkoo
namba zao ni 0788901672

hakunaa mwenye bei nzuri zaidi ya hawa maana wao ndio wakala mkuu na anauza Genuine from India
Asante sana ngoja nicheki prices mkuu
 
Mimi nikionaga kitu kimeandikwa Made in India au China huwa napata mashaka na ubora wake ila ok.

Swali langu hizo Ah inamaanisha nini kwenye Battery ?
Inverter ya 300VA haiwezi kutosha ?
 
Asante sana ngoja nicheki prices mkuu
hao nimetumia vifaa vyao mwaka wa tatu sasa hivi! haijawah tokea vikasumbua! nenda kkoo angalia Battery ya 100AH ya labda Ritah au sukam

then kaangalie za hawa sunnova utaona tofauti hata kwa macho na wanatoa warranty 3 to 5 years
 
Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi

Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.

Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza

Cc Extrovert
Sorry naomba nikuulize, hizo watt 140 ni vifaa gani unatumia?
 
hao nimetumia vifaa vyao mwaka wa tatu sasa hivi! haijawah tokea vikasumbua! nenda kkoo angalia Battery ya 100AH ya labda Ritah au sukam

then kaangalie za hawa sunnova utaona tofauti hata kwa macho na wanatoa warranty 3 to 5 years
Kama unatumia back up... battery inachukua muda gani kujaa hiyo uliyorecomend?
 
Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi

Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.

Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza

Cc Extrovert
Kama gharama inafika huko milioni 3 zipo ready made powerstation 1Kwh-2Kwh 1M-2M Ya 1Kwh ndo around hayo masaa 7 na 2Kwh ni masaa 14 roughly kwa hio 140w. Something like this
images.jpeg-14.jpg

Pia kwa wingi huu wa gharama na vifaa vyako vya wifi, pc na taa unaweza shusha matumizi chini ya 50W.
 
Kama kichwa kilivyojieleza,
Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi

Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo.

Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei zikiambatanishwa itapendeza

Cc Extrovert
Quite breezy!

Load 140w
Usage1 7hrs
Usage2 10hrs

Energy1 =140*7=0.98kWh
Energy2=140*10=1.4kWh

1.Budget constrained:
Battery1=0.98/12=81.6=~83Ah
Battery2=1.4/12=116.6=~120Ah
Gel, AGM

Charger1=83*0.25=20.75*14.8=307.1w~350w
Charger2=120*0.25=30*14.8=444w=~500w

Inverter=140/0.8=200W

2.Optimal performance:
Accounting system efficiency
Energy1=0.98/0.9=1.088kWh
Energy2=1.4/0.9=1.555kWh

Accounting battery discharge level (Lead DoD)
Energy1/=1.088/0.5=2.176kWh
Energy2=1.555/0.5=3.111kWh

Battery1=2.176/12=181Ah=~200Ah
Battery2=3.111/12=259Ah=~250Ah
Gel, AGM

Charger1=200*0.25=50A*14.8=740w=~800w
Charger2=250*0.25=62.5A*14.8=925w=~1000w

Inverter =140/0.8/0.9=200w
 
hafiki hataa laki 5 gharama zote! acha kumdanganya na mi BEI ya ajabu
Pitia mahesabu ya mkuu Chenchele hapo chini!

Kumaliza kona, weka Inverter Charger ya 500VA; nenda kapate bei ya hiyo moja kwanza.

Ukiweka Solar panel ya kuanzia 300W, kaulize bei yake.

Betri, hamna hamna, weka basi 150Ah, kaulize bei yake.

Viwaya waya na wiring yake, si utamlipa fundi chochote, basi mpe tsh 100k.

Hiyo laki 5 ni ya wapi, Kenya?
 
Back
Top Bottom