Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

Unajua nafasi nne zinatoa wawikilishi kwenye michuano ya kimataifa zimetokana na ushiriki wa simba na point zake.
 
Hakukuwa na real challenge

Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
 
Huyo ana homa ya manjano tangu apigwe [emoji2772] akili zimeruka bingwa wa shirikisho ndio bingwa wa super cup misimu miwili mfurulizo mtu ana kandia shirikisho huku wanakomaa na Mapinduzi tena kwa kubebwa
 
Unajua nafasi nne zinatoa wawikilishi kwenye michuano ya kimataifa zimetokana na ushiriki wa simba na point zake.
Hapana mkuu....ni jumla ya point za timu zote Yanga namungo....Simba na.....
 
Hakukuwa na real challenge

Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
Challenge ya wapi nyie si mlicheza mbona hamkupeleka hio challenge?
 
Hakukuwa na real challenge

Bahati ndio ili take place kwa asilimia kubwa, mashindano yalipoteza mvuto ndio sababu ya kufikiria kufutwa
Sababu ni kuwa CAF inaendesha michuano mingi....hivyo running cost ni kubwa kuliko faida
 
Maneno mengi wakati timu yako hata nusu fainali ya confederation haijawahi kufika. Kibaya zaidi ni kuwa kama hilo likifutwa basi makolo msahau kuhusu michuano ya kimataifa.

Then utambue kuwa USMA aliyeshinda Caf confederation alicheza na mshindi wa Caf Champs, USMA akashinda lakini kolo umepindisha shingo hutaki kuelewa kama shoga aliyenogewa.
 
Challenge ya wapi nyie si mlicheza mbona hamkupeleka hio challenge?
Challenge ilionekana , hakukuwa na timu iliyokuwa inajitafuta kushuka daraja.

Bahati haikuamua matokeo, bahati haikuamua kwenye plots.

Nyinyi mlipopangwa na Rivers mkapiga vigelegele. Juzi mlipopangwa na Al Ahly hatukusikia vigelegele zaidi ya kuona mmekuwa wakimya kama wakiwa
 
Simba hata wasipochukua ubingwa mwakani watakuwepo tena kwenye CAF Champions League kama ulikuwa hujui. Mwakani zitaenda timu nne

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu....lkn Simba kwenye hili kombe la shirikisho...tulihinga Hadi marefa

Baada ya kuona pia ngoma ngumu...tulienda kuroga uwanjani kule sauzi ....Kwa kuchoma dawa uwanjani....
Kipindi hicho mashindano hayo yalikuwa na mvuto sana, lakini baada ya kuingia Yanga na Marumo yakawa ni kama mashindano ya kutafuta Miss Tanzania

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…