Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

CAF jinga sana badala ya kuboresha mashindano kwa kuongeza hata michuano mingine midogo ili pia team ndogo ambazo hazipati nafasi club bingwa zicheze Kama ilivokua kwa UEFA conference league Bado wanapunguzu hiyo michache iliyokuepo.
Tatizo ni lack of kibunda....( Financial muscles
 
Hata kama hoja yakp ina ukweli lakini anaeenda kuathirika zaidi ni simba maana uyo yanga bado ataendelea kuchukua ubingwa mfululizo kwa miaka mingi tu hapa bongo lakini simba kuingia top 2 kwa sasa ni mtihani, azam anazidi kuimarika hata singida wakiacha utoto wanaweza kabisa kumaliza ligi mbele ya simba
 
MAUMI FC hawana akili
 
Mwanzo nilijuaga zile story kuhusu Alinacha ni uongo ila mpaka niliposoma hii comment yako
 
Yatarudi yaleyale. Yanga walikuwa wawakilishi wa Tanzania lakini walikuwa wanarudi kwa aibu kuu.

Bora tupeleke timu hata 3 inawezekana mojawapo ikatutoa kimasomaso.
 
Watashiriki Kombe la Mapinduzi na mashindano mengine ya ndondo cup.
 
Uzuri CAF hawaijui Yanga hata ikichukua Ubingwa wanaweza wasiite. Rejea Juzi Tu waliitwa 8 Giants kwenye super cup. Nyie endeleeni kulalamika😂😂
 
We ndio mwenye mapenzi na Simba?
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…