Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

Yatarudi yaleyale. Yanga walikuwa wawakilishi wa Tanzania lakini walikuwa wanarudi kwa aibu kuu.

Bora tupeleke timu hata 3 inawezekana mojawapo ikatutoa kimasomaso.
Yanga Sasa kimataifa ndo kwao
 
Uzuri CAF hawaijui Yanga hata ikichukua Ubingwa wanaweza wasiite. Rejea Juzi Tu waliitwa 8 Giants kwenye super cup. Nyie endeleeni kulalamika[emoji23][emoji23]
Zachini chini naskia Yanga walikataa kwenda super cup
 
Watayafuta ila historia yake Iko pale pale
 
Hii kombe ifutwe tu ndo maana tunasema timu zinazocheza huko hazina viwango ndo maana Yanga wakafika nusu fainali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Ulaya hawajayafuta? Njaa tuu hapa Afrika hakuna Cha kisingizio Cha mechi nyingi
 
Ukiona inafutwa champions league itapanuliwa,na inavyopanuliwa itazid kupanuka,na mikia wataingizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…