BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

Faraja zenu MAKOLO baada ya kipigo cha mmbwa koko kule South Africa na kutolewa mpwitompwito kama panya buku.

Ule upumbavu wa "hatoki Mtu kwa Mkapa" umewaponza na hatimaye mliopumbazwa nao Orlando Pirates na Berkane FC wametinga fainali [emoji2]
utopolo mlifika hatua gani zaidi ya kupigwa nje ndani.
Yanga wenye akili ni Sunday Manara na kikwete tu
 
Dah! Inasikitisha. Mwenzio angalau Yuko kwenye 14 wewe hata kwenye 100 haumo , bado unamdhihaki badala ya kujihurumia.Hii nchi ni ngumu Sana. Kwa huo umri wako ulio nao nahisi wewe ni mchawi.

Hahahahaaa acha ivyo chief 🤣 hongereni sana.
 
Hongereni sana simba kwa kupigwa faini ya dola 10000 na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kwa kuonesha vitendo vya kishirikina kwenye ile mechi yenu ya marudio dhidi ya Orlando Pirates kule Afrika Kusini.

Kiukweli Taifa limepata aibu kubwa sana. Ukichukulia na uchawi wenyewe haukufanya kazi yoyote ile!!!! Zaidi tu ulisaidia kumfanya Cris Mugalu kuwa kiungo mkata umeme! 😫
 
Yanga ni ya ngapi?
 
Tanzania bwana ina watu wa ajabu sana zikiletwa data simba haipo top ten watu wana kubali ila simba ikiwa tu top ten nguruwe pori na misekule wenzake wanaitisha press conference kupinga na kuhoji source ya data haya utopolo imepanda nafasi ngapi.
 
Djuma shabani kashatoa hirizi yake pale katika dimba la mkapa kati kati.
 
Faraja zenu MAKOLO baada ya kipigo cha mmbwa koko kule South Africa na kutolewa mpwitompwito kama panya buku.

Ule upumbavu wa "hatoki Mtu kwa Mkapa" umewaponza na hatimaye mliopumbazwa nao Orlando Pirates na Berkane FC wametinga fainali [emoji2]
Acha ufala , kwahyo nyie utopolo ndo mmefanya nini cha maana kimataifa kuzid simba
 
hivikumbe ilikuwa inawakilisha taifa? mimi nilidhani huwa inajiwakilisha yenyewe ipe hongera pia kwa kuleta teams 4 afrika
 
hivikumbe ilikuwa inawakilisha taifa? mimi nilidhani huwa inajiwakilisha yenyewe ipe hongera pia kwa kuleta teams 4 afrika
Ilikuwa inamuwakilisha Moo na Vunja Bei! Sisi kama Taifa tumeambulia tu aibu.
 
Ilikuwa inamuwakilisha Moo na Vunja Bei! Sisi kama Taifa tumeambulia tu aibu.
Pole kwa aibu aisee leo kwenye ligi dhaifu husikiagi kauli tunagombea top four..hayo yote yamesababishwa na li duuuuude likuubwa linaloibeba ligi dhaifu mabegani mwake..ukimaliza kusikia aibu ukatolewe tena kwa kupigwa nje ndani uje uendeleze majungu na fitna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…