mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ko simba unamlinganisha na utopolo ambaye katika viwango vya ubora vya CAF anazidiwa na Namungo?Hivi nyie simba mna kiwango gani?
sasa ujue hata mind sets zetu zimebadilika tunajadili kuhusu kuanzia round ya kwanza ambayo ni special kwa teams 10 zajuu roho inauma kuona kwamba kuna possibility ya kuanzia round ya awali na vilaza waliowekeza kwenye majungu lakini mwenye macho na aone tu , in 2 years tunafika fainali klabu bingwa afrika , we are almost thereKinachojadiliwa hapa kunawaumiza sana upande wa pili ni vile tu kusema hawawezi..
baada ya kuwasha moto wameamua kuwatupa nafasi ya 14,ilibid muwe wa 13, hongereni [emoji16]Kwanini nafasi ya 13 haipo badala wameruka hadi 14? Je ikitokea timu zinalingana point ni kitu gani cha ziada wanachoangalia ili kumpa timu advantage ya kuwa juu ya mwenzie?
78 points zao 0.5 ila sasa kila page kubwa za soccer africa ukikuta habari ya simba nao wanaji promote huko na mayele wao, hadi aibu yaani wanajulikana kupitia simba eti rivals wa simbaHongera sana kwa Simba kufikia hatua ya mpaka manyani f.c kuijadili Simba.
enhe Utopolo wapo nafasi ya ngapi hapo?
Kawasheni moto mtoke nafasi ya 78 huko mtumeni Djuma shabani afanye hivyo muingie top 20baada ya kuwasha moto wameamua kuwatupa nafasi ya 14,ilibid muwe wa 13, hongereni [emoji16]
wanasubiri matukio ya simba afrika wanajishikizia humohumo,simba ina make headlines za kutosha afrika ziwe nzuri au mbaya lakini ni jina ambalo kila mshabiki wa soka afrika analijua sasa kuna wengine wanapitia humohumo eti rivals wa simbaNajaribu hpo kwenye list mbona sioni jina la timu inayoitwa Ng'ombe FC au hii list ni ya mchongo View attachment 2227339
Mtu anapoandika comment ya utani jibu kwa utani, ila mtu anapoleta hoja jibu hoja. Huna jibu kaa kimya, usiwe shabiki kichaabaada ya kuwasha moto wameamua kuwatupa nafasi ya 14,ilibid muwe wa 13, hongereni [emoji16]
Sawa fwala [emoji16]Acha ufala , kwahyo nyie utopolo ndo mmefanya nini cha maana kimataifa kuzid simba