BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

Hivi nyie simba mna kiwango gani?
Ko simba unamlinganisha na utopolo ambaye katika viwango vya ubora vya CAF anazidiwa na Namungo?

Simba point 28
Namungo point 2
Utopolo point 0.5

Unamlinganisha na timu inayopigwa nje ndani kila mwaka?
 
Kinachojadiliwa hapa kunawaumiza sana upande wa pili ni vile tu kusema hawawezi..
 
Kinachojadiliwa hapa kunawaumiza sana upande wa pili ni vile tu kusema hawawezi..
sasa ujue hata mind sets zetu zimebadilika tunajadili kuhusu kuanzia round ya kwanza ambayo ni special kwa teams 10 zajuu roho inauma kuona kwamba kuna possibility ya kuanzia round ya awali na vilaza waliowekeza kwenye majungu lakini mwenye macho na aone tu , in 2 years tunafika fainali klabu bingwa afrika , we are almost there
 
Hongera sana kwa Simba kufikia hatua ya mpaka manyani f.c kuijadili Simba.
enhe Utopolo wapo nafasi ya ngapi hapo?
 
Kwanini nafasi ya 13 haipo badala wameruka hadi 14? Je ikitokea timu zinalingana point ni kitu gani cha ziada wanachoangalia ili kumpa timu advantage ya kuwa juu ya mwenzie?
baada ya kuwasha moto wameamua kuwatupa nafasi ya 14,ilibid muwe wa 13, hongereni [emoji16]
 
Hongera sana kwa Simba kufikia hatua ya mpaka manyani f.c kuijadili Simba.
enhe Utopolo wapo nafasi ya ngapi hapo?
78 points zao 0.5 ila sasa kila page kubwa za soccer africa ukikuta habari ya simba nao wanaji promote huko na mayele wao, hadi aibu yaani wanajulikana kupitia simba eti rivals wa simba
 
Najaribu hpo kwenye list mbona sioni jina la timu inayoitwa Ng'ombe FC au hii list ni ya mchongo
20220516_225133.jpg
 
Najaribu hpo kwenye list mbona sioni jina la timu inayoitwa Ng'ombe FC au hii list ni ya mchongo View attachment 2227339
wanasubiri matukio ya simba afrika wanajishikizia humohumo,simba ina make headlines za kutosha afrika ziwe nzuri au mbaya lakini ni jina ambalo kila mshabiki wa soka afrika analijua sasa kuna wengine wanapitia humohumo eti rivals wa simba
 
baada ya kuwasha moto wameamua kuwatupa nafasi ya 14,ilibid muwe wa 13, hongereni [emoji16]
Mtu anapoandika comment ya utani jibu kwa utani, ila mtu anapoleta hoja jibu hoja. Huna jibu kaa kimya, usiwe shabiki kichaa
 
Back
Top Bottom