Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Naona Dogo janja ameamua nyimbo zake kutopigwa na clouds Sasa!
Promo ambayo huwa wanamfanyia Sasa ndo itakuwa mwisho......
time will tell

Haikuwa na lazima kufanya alichokifanya , angeweza pia kukausha na mambo yakaisha...huwezi kushindana na soudy brown
 
Irene alisema hii sio account yake ya facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wana maneno eti gololi zinagonga chuma.
Haya ndio mambo yako si unaoana ulivyo active
 
Why Panic.. Soudy anafanya Gossiping na kipindi chake inajulikana kabisa ni gossips nashangaa wanaopanic
Ukishajiitaa/ukishaingia kwenye maisha ya usuper star hizo ndio gharama zake... watulie tu Soudy aendelee kuleta Ubuyu!

Ukipanic mwenzio ndo anafurahi , hapa leo kashapata ubuyu mpya, though nadhani kamuharibia na hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…