Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Licha ya Tumbo, sudy brown anapenda tu umbea, anaifurahia kazi yake.
Irene alisema hii sio account yake ya facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Dogo janja ameamua nyimbo zake kutopigwa na clouds Sasa!
Promo ambayo huwa wanamfanyia Sasa ndo itakuwa mwisho......
time will tell
Haya ndio mambo yako si unaoana ulivyo activeIrene alisema hii sio account yake ya facebook [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wana maneno eti gololi zinagonga chuma.
Why Panic.. Soudy anafanya Gossiping na kipindi chake inajulikana kabisa ni gossips nashangaa wanaopanic
Ukishajiitaa/ukishaingia kwenye maisha ya usuper star hizo ndio gharama zake... watulie tu Soudy aendelee kuleta Ubuyu!
Mambo ya umbea au ya gololi?Haya ndio mambo yako si unaoana ulivyo active
Unajifanya hujui nw....taarifa zako ninazoMambo ya umbea au ya gololi?
Najua unazo yani wala sibishiUnajifanya hujui nw....taarifa zako ninazo
Safi sn...goroli zimegonga chumaNajua unazo yani wala sibishi
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]Safi sn...goroli zimegonga chuma