Badala ya baadhi ya viongozi kusimama kwenye nafasi zao, wamekalia kuwasema watu

Badala ya baadhi ya viongozi kusimama kwenye nafasi zao, wamekalia kuwasema watu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kuna baadhi ya viongozi badala kusimama kwenye nafasi zao kufanya kazi wamekalia kuwasema watu ndio maana mnaleta uzembe mpaka watu wanapoteza mali zao.

Rais amewaweka mmsaidie kufanya kazi na sio kuwasema watu. Hivi mkiwasema watu mnafaidika na nini.

Fanyeni kazi acheni maneno, kila mmoja simama kwenye nafasi yako fanya kazi mnawapa mzigo viongozi wakuu kuanza kuwafuatilia.

Mimi naona hapa Rais akisikia kuna kiongozi anasimama kwenye midia kumsema mtu badala ya kusema kile alichokifanya katika nafasi yake ni bora kutumbua tu.

Wanaleta uzembe kazini kwa kukalia swaga tu.
 
Mkuu mtoto hufuata kwa Baba au Mama hata hao viongozi wa ngazi za chini wamefuata kwa viongozi wa juu tabia hiyo.
 
Back
Top Bottom