Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani.

Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
 
We are almost the same in trade numbers ..import/export revenues ..btn us ..inabidi tu work on this close zinazoumia ni company zetu..vitu vingine sio politcs
 
Tumemuomba mh Kabudi aende likizo ya siku thelasini katika kushughulikia maswala ya Kenya na Tz... Viongozi wote watakaopigiwa simu kutoka Kenya nao waseme wako likizo ya siku 30. Mpaka siku 30 ambazo Kenya wamefunga mpaka zitakapokwisha, mtakuwa mmeshashika adabu!
 
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwa nini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
Hii hujaona?

.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni Wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi

Wakenya ni watu wenye ndimi mbili au anakuchekea kimono pembe au ana mipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Mlizoea wakati ule kuididimiza bongo kwenye utalii na kuwahadaa wazungu kwenye mitandao kuwa vivutio vyote vya utalii vya bongo ni vya kwenu.Sasa jaribuni muone mtashambuliwa hukohuko mlikoposti hadi aibu

Mlitaka kutumia issue ya korona ili muharibu utalii wetu na kuwahadaa wazungu wawape misaada kama enzi za ukolono mlivyokuwa ma informer wa mzungu ili mpate ration kubwa ya chakula. TABIA ZENU NI HEREDITY MNAFANANA NA SUNGULA WA TAMTHILIA YA SULTAN.

Embu fikiria kama hali ingekuwa sawa na hicho mnachoposti kwenye mitandao hivi bongo sii tungekuwa tumeisha?hata hapa JF accounti za watu zisingekuwa hewani ila kama ilivyo mitaani tunasunda tuu wala3hakuna mamata.Tunasubiri kwa hamu mtajifungia hadi lini
 
Sasa tutashirikianaje wakati marais Kagame, M7, Muigai na Salva Kiir wamekuwa kwenye vikao vya kujadili masuala haya mara mbili na rais mwenzao amegoma na akajifungia kule Chato?
 
Kwenye ishu ya corona kila nchi ipambane na hali yake.
 
Pelekeni ujinga wenu huko.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi

Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa Ujerumani akaomba mfalme wa Uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
 
Pelekeni ujinga wenu huko.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi

Wakenya ni watu wenye ndimi mbili au anakuchekea kimono pembe au ana mipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Mlizoea wakati ule kuididimiza bongo kwenye utalii na kuwahadaa wazungu kwenye mitandao kuwa vivutio vyote vya utalii vya bongo ni vya kwenu.Sasa jaribuni muone mtashambuliwa hukohuko mlikoposti hadi aibu

Mlitaka kutumia issue ya korona ili muharibu utalii wetu na kuwahadaa wazungu wawape misaada kama enzi za ukolono mlivyokuwa ma informer wa mzungu ili mpate ration kubwa ya chakula. TABIA ZENU NI HEREDITY MNAFANANA NA SUNGULA WA TAMTHILIA YA SULTAN.

Embu fikiria kama hali ingekuwa sawa na hicho mnachoposti kwenye mitandao hivi bongo sii tungekuwa tumeisha?hata hapa JF accounti za watu zisingekuwa hewani ila kama ilivyo mitaani tunasunda tuu wala3hakuna mamata.Tunasubiri kwa hamu mtajifungia hadi lini
Wacha uongo. Kwenye hizo video nne nilizoona, watu wanazungumza kwa Kiswahili cha kibongo. Kuna moja mtu ameanguka Kariokoo.
 
Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Hiyo hiyo historia inasema kabla ya Berlin conference hapakuwa na Tanzania wala Kenya kwahiyo hoja yako ni nini?
 
Sasa si mkubaliane na hali? ya ukoloni yamepita sasa tupimane kwa tabia za undugu wetu wa asili na sio kujipendekeza tena kwa hao wakoloni kwa kuwapakazia wenzenu.
 
Hiyo hiyo historia inasema kabla ya Berlin conference hapakuwa na Tanzania wala Kenya kwahiyo hoja yako ni nini?
Kwani kuanguka watu si jambo la kawaida na lipo siku zote na mahali popote hata uko kwenu? Kumbuka watu hadondoka kwa njaa, magonjwa kama kifafa na maradhi mengine sii lazima iwe korona.
 
Sasa tutashirikianaje wakati marais Kagame, M7, Muigai na Salva Kiir wamekuwa kwenye vikao vya kujadili masuala haya mara mbili na rais mwenzao amegoma na akajifungia kule Chato?
Hahaha. Ni kweli
 
Back
Top Bottom