Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Sasa unaumwa juu tumepewa loan? Ona huyu jamaa? Sisi tunastabilize nchi, nyie zuieni wanaoanguka mitaani.
debt to GDP ration is over 70% sasa n be rest assured next year u will still have hunger!
 
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
Umekoga lakini?
 
Hatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.

Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona.
Wishful thinking. Uhuru asingepiga simu. Mind you hata huku Wakenya wamewekeza kwenye kilimo pia. Mtaumia both ways. Mtapata taabu sana kati hii miaka 10 ijayo.
 
Mi pia ninashangaa niko bongo na ninafanya kazi moja ya hospital kubwa ambayo ni inapokea wagonjwa wa covid sijaona hilibtatizo wanalosema watu. Naamin kuna watu wanasubir wabongo waishe waje kurithi. Watatengeneza post zao hata kuzi edit ili ionekane wanavotamani lakini ukwel utabakia ukweli milele ni mida tu
.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni Wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi

Wakenya ni watu wenye ndimi mbili au anakuchekea kimono pembe au ana mipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Mlizoea wakati ule kuididimiza bongo kwenye utalii na kuwahadaa wazungu kwenye mitandao kuwa vivutio vyote vya utalii vya bongo ni vya kwenu.Sasa jaribuni muone mtashambuliwa hukohuko mlikoposti hadi aibu

Mlitaka kutumia issue ya korona ili muharibu utalii wetu na kuwahadaa wazungu wawape misaada kama enzi za ukolono mlivyokuwa ma informer wa mzungu ili mpate ration kubwa ya chakula. TABIA ZENU NI HEREDITY MNAFANANA NA SUNGULA WA TAMTHILIA YA SULTAN.

Embu fikiria kama hali ingekuwa sawa na hicho mnachoposti kwenye mitandao hivi bongo sii tungekuwa tumeisha?hata hapa JF accounti za watu zisingekuwa hewani ila kama ilivyo mitaani tunasunda tuu wala3hakuna mamata.Tunasubiri kwa hamu mtajifungia hadi lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.

Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona.
Then why did Uhuru call magufuli abt border closure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunachojua kuna mlevi kampigia mwana sayansi, mrejesho tutaupata tu
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mark Vivian Foe aliamguka akiwa anacheza mechi ya kimataifa, mwanamazoezi, alikuwa na corona? Kilichobadilika kwa sasa ni kuwa vifo vingi hata natural death vinaripotiwa.

Angalau nyie mnaficha lkn mnasema angalau kidogo. Sasa mazuzu ya Rwanda na Uganda yanaamini hakuna aliyekufa wakati cases zimefikia 303 vs 290+, halafu eti no death. Idiot
Kwani kuanguka watu si jambo la kawaida na lipo siku zote na mahali popote hata uko kwenu? Kumbuka watu hadondoka kwa njaa, magonjwa kama kifafa na maradhi mengine sii lazima iwe korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom