Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Tony254,

Wewe angalia tu hizo video mitandaoni...inawezekana wewe nyang'au ni miongoni mwa watengenezaji na wasambazaji wa video hizo fake...sisi tupo bongo hatujaona mtu akidondoka mitaani...sisi tunaendelea kuchukua tahadhari kwa maelekezo ya wataalamu wetu...tunaendelea kuchapa kazi.,hakuna Cha lockdown hapa Wala mjonba wake lockdown...nyie endeleeni na lockdown yenu kwani mmepata fedha za IMF na WB...walioko lockdown tumeambiwa wanalia njaa na chakula tunaambiwa. Kinasambazwa usiku...wasambazaji wa chakula bila Shaka ni elites wenu tayari wananufaika na fedha hizo za mkopo kutoka IMF na WB...hongereni nyang'au kwa lockdown...ili tusiwaambukize Corona tumeamua kufunga mpaka zikiwemo njia za panya...hatutaki kugusana na nyie kwani tutawaambukiza Corona...tukiona mnaendelea kuja kwa njia za panya huenda tukaja na uamuzi mgumu wa kujenga ukuta Kama uliokuwa wa Berlin...au ukuta wa USA Mexico border..'tunawapenda' nyie nyang'au hatutaki mpate Corona...
 
Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.

Turudi kuhusu historia, ukiwa unataja kwamba Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya usisahau kusema Bandari ya Mombasa ilikuwa Tanzania.

Ndiyo maana mkaachia mlima ili mpate bandari, Mngekuwa na hali mbaya zaidi muda huu

Section 20
Yaani wangekuwa a landlocked country...huyu Sijui MK254 simuelewi kwa hakika ...nilidhani ni mtu mwelewa kumbe inaelekea hamna kitu hapo.
 
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
Acha unafiki Leta hizo video

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu kidogo kushirikiana na wajinga. Mjinga mwingine jana anasifia askari kupiga watu, mjinga mwingine anashangaa watu kufix transfoma na hapo hapo umeme bado haujarudi. Mjinga mwingine anasifia nchi yao kupambana na corona ukimuuliza jumla ya deni la corona na lile linalosababisha china itake kuoa nchi nzima, hajui.

Nafikiri Tanzania tuendelee kuwaunga mkono jirani zetu Kenya kwa msimamo wao wa kufunga mpaka ili kujikinga na corona, hivyo nasi tuendelee kufunga mpaka.
Nani aliwakataza kufunga mipaka? Sisi tumeshafunga yetu. Nyie mnangoja nini?
 
Mimi ninadhani tutaishi vizuri zaidi kama kila nchi itafanya mambo yake. Kenya na Tanzania hatuwezi kushirikiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye trade of goods and services ambapo nyie mnafaidi zaidi kutushinda? Kama ni hivyo nyie ndio mtaumia zaidi. Hebu katazame nchi gani ina trade surplus na gani ina deficit kati ya hizi nchi mbili. Nyie ndio mtaumia kutushinda. Kumbuka tayari uchumi wetu ni mkubwa kushinda wenu. Hamna ubavu wa kukataa kutrade na Kenya kwa sababu umaskini wenu utaongezeka mara dufu.
 
Nani aliwakataza kufunga mipaka? Sisi tumeshafunga yetu. Nyie mnangoja nini?
Utakua hauna habari.

Tanzania imefunga mpaka wake.

Jana Balozi wa kenya akaitisha press kuomba suluhu akidai eti nyinyi ni ndugu zetu siyo majirani (Jinga).

Hiyo ni ndani ya siku 4.

Ila kwaku kenya hakuna umeme probably haukujua hii.
 
Hata kwenye trade of goods and services ambapo nyie mnafaidi zaidi kutushinda? Kama ni hivyo nyie ndio mtaumia zaidi. Hebu katazame nchi gani ina trade surplus na gani ina deficit kati ya hizi nchi mbili. Nyie ndio mtaumia kutushinda. Kumbuka tayari uchumi wetu ni mkubwa kushinda wenu. Hamna ubavu wa kukataa kutrade na Kenya kwa sababu umaskini wenu utaongezeka mara dufu.
Uhuru Kenyatta aneshapiga simu kuomba msamaha, Kenya hamna ubavu wa kupambana na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
ah ah sasa kama kichogo kipo kwanini tusiwaseme...tumewashika pabaya eh?
 
Back
Top Bottom