Hapana muachane na sisi fanyeni yenu.We are almost the same in trade numbers ..import/export revenues ..btn us ..inabidi tu work on this close zinazoumia ni company zetu..vitu vingine sio politcs
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hujaona?Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwa nini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
Wamefunga siku therasini wawe wapole na sisi tunafunga wakifungua tutawasaidia.Mmeshaanza kuomba msamaha, na bado. Mechi ndio kwanza dakika ya 15.
Wao wamezuia watu kuingia na kutoka kenya, sisi tumezuia mizigo so ngoma draw. Ila sasa sijui kinachowaliza ni niniWamefunga siku therasini wawe wapole na sisi tunafunga wakifungua tutawasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tutashirikianaje wakati marais Kagame, M7, Muigai na Salva Kiir wamekuwa kwenye vikao vya kujadili masuala haya mara mbili na rais mwenzao amegoma na akajifungia kule Chato?
Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa Ujerumani akaomba mfalme wa Uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.Pelekeni ujinga wenu huko.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi
Wakenya ni watu wenye ndimi mbili au anakuchekea kimono pembe au ana mipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mlizoea wakati ule kuididimiza bongo kwenye utalii na kuwahadaa wazungu kwenye mitandao kuwa vivutio vyote vya utalii vya bongo ni vya kwenu.Sasa jaribuni muone mtashambuliwa hukohuko mlikoposti hadi aibu
Mlitaka kutumia issue ya korona ili muharibu utalii wetu na kuwahadaa wazungu wawape misaada kama enzi za ukolono mlivyokuwa ma informer wa mzungu ili mpate ration kubwa ya chakula. TABIA ZENU NI HEREDITY MNAFANANA NA SUNGULA WA TAMTHILIA YA SULTAN.
Embu fikiria kama hali ingekuwa sawa na hicho mnachoposti kwenye mitandao hivi bongo sii tungekuwa tumeisha?hata hapa JF accounti za watu zisingekuwa hewani ila kama ilivyo mitaani tunasunda tuu wala3hakuna mamata.Tunasubiri kwa hamu mtajifungia hadi lini
Ninyi si vilaza mnasubiri wazungu wawalete tiba
Hiyo idadi unayosikia inapungua kwenye vituo vyetu usifikiri wanajiponea from air
Tuna dawa zetu zinazoleta mapinduzi zina fanya kazi
Wacha uongo. Kwenye hizo video nne nilizoona, watu wanazungumza kwa Kiswahili cha kibongo. Kuna moja mtu ameanguka Kariokoo.Pelekeni ujinga wenu huko.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi
Wakenya ni watu wenye ndimi mbili au anakuchekea kimono pembe au ana mipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mlizoea wakati ule kuididimiza bongo kwenye utalii na kuwahadaa wazungu kwenye mitandao kuwa vivutio vyote vya utalii vya bongo ni vya kwenu.Sasa jaribuni muone mtashambuliwa hukohuko mlikoposti hadi aibu
Mlitaka kutumia issue ya korona ili muharibu utalii wetu na kuwahadaa wazungu wawape misaada kama enzi za ukolono mlivyokuwa ma informer wa mzungu ili mpate ration kubwa ya chakula. TABIA ZENU NI HEREDITY MNAFANANA NA SUNGULA WA TAMTHILIA YA SULTAN.
Embu fikiria kama hali ingekuwa sawa na hicho mnachoposti kwenye mitandao hivi bongo sii tungekuwa tumeisha?hata hapa JF accounti za watu zisingekuwa hewani ila kama ilivyo mitaani tunasunda tuu wala3hakuna mamata.Tunasubiri kwa hamu mtajifungia hadi lini
Hiyo hiyo historia inasema kabla ya Berlin conference hapakuwa na Tanzania wala Kenya kwahiyo hoja yako ni nini?Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Sasa si mkubaliane na hali? ya ukoloni yamepita sasa tupimane kwa tabia za undugu wetu wa asili na sio kujipendekeza tena kwa hao wakoloni kwa kuwapakazia wenzenu.Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Kwa hiyo mnautaka mlima Kilimanjaro tuwape?Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Kwani kuanguka watu si jambo la kawaida na lipo siku zote na mahali popote hata uko kwenu? Kumbuka watu hadondoka kwa njaa, magonjwa kama kifafa na maradhi mengine sii lazima iwe korona.Hiyo hiyo historia inasema kabla ya Berlin conference hapakuwa na Tanzania wala Kenya kwahiyo hoja yako ni nini?