Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
debt to GDP ration is over 70% sasa n be rest assured next year u will still have hunger!Sasa unaumwa juu tumepewa loan? Ona huyu jamaa? Sisi tunastabilize nchi, nyie zuieni wanaoanguka mitaani.
Bado wamekamatwa na watafikishwa kortini
Najua njaa imeanza kuwaumbua.Kwa sababu sisi ni majirani na kwa hekima yake Mola aliona atupee majirani visirani kama ninyi. Ila sisi hatuna budi ila kukubali mapenzi ya mungu
Umekoga lakini?Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
Wishful thinking. Uhuru asingepiga simu. Mind you hata huku Wakenya wamewekeza kwenye kilimo pia. Mtaumia both ways. Mtapata taabu sana kati hii miaka 10 ijayo.Hatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.
Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona.
.Tatizo lenu ni la kihistoria na mnarithishana maujinga .wakati wa ukoloni Wakenya walikuwa ndio viherehere wa kuwapakazia wenzao kwa mzungu ili waonekane wao ni bora zaidi na walijinasibu kuwa wao ni wazungu weusi
Wakenya ni watu wenye ndimi mbili au anakuchekea kimono pembe au ana mipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mlizoea wakati ule kuididimiza bongo kwenye utalii na kuwahadaa wazungu kwenye mitandao kuwa vivutio vyote vya utalii vya bongo ni vya kwenu.Sasa jaribuni muone mtashambuliwa hukohuko mlikoposti hadi aibu
Mlitaka kutumia issue ya korona ili muharibu utalii wetu na kuwahadaa wazungu wawape misaada kama enzi za ukolono mlivyokuwa ma informer wa mzungu ili mpate ration kubwa ya chakula. TABIA ZENU NI HEREDITY MNAFANANA NA SUNGULA WA TAMTHILIA YA SULTAN.
Embu fikiria kama hali ingekuwa sawa na hicho mnachoposti kwenye mitandao hivi bongo sii tungekuwa tumeisha?hata hapa JF accounti za watu zisingekuwa hewani ila kama ilivyo mitaani tunasunda tuu wala3hakuna mamata.Tunasubiri kwa hamu mtajifungia hadi lini
Thought you were smarterHahaha. Ndio nineona kwa hizo comments zao. Nilikuwa nahisi huruma tu juu nimeona mavideo wanaanguka sio mchezo
Then why did Uhuru call magufuli abt border closureHatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.
Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona.
Badala ya Wabongo kutaka ligi na Kenya kwanini tusishikane kwa pamoja kama ndugu na kupambana na corona kwa pamoja? Ninaandika hivi kwa sababu nimetazama video kadhaa zinazozunguka mitandaoni zikionyesha Wabongo wakianguka mitaani. Hali iko vipi huko kwenu? Mko salama majirani?
Kwani kuanguka watu si jambo la kawaida na lipo siku zote na mahali popote hata uko kwenu? Kumbuka watu hadondoka kwa njaa, magonjwa kama kifafa na maradhi mengine sii lazima iwe korona.