Badala ya kushughulika na elimu inavyoharibiwa shule binafsi, unashughulika na nyimbo za Zuchu ili nawe uonekane unafanya kazi!

Pole sana ndugu graduate, kama vipi na wewe anzisha shule alafu uwalipe hao graduates milion.
 
Hii mizee Bora ingekua inabakia kufundisha huko vyuoni lakini busara zao ni Bure kabisa wakishapewa zile V8 akili zinapotea kabisa inasemekana zinaganda na zile AC zao kwenye mandinga ushauri wangu kwa vile mama anapita hapa au Mama Gwajima (mb) na bosi wa jinsia na watoto tafadhali mwambieni Mzee mkenda hafananii kabisa kufanya mambo ya kijinga na uonezi wa wazi kama aliofanya na asipojiangalia atapoteza uwaziri wenyewe ilikua ni aibu kubwa baada ya kubanwa na Mh Spika alishindwa kujitetea kabisa akabaki kuinamisha kichwa that's totally naive!!!
 
Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini!

1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba.

2. Private schools 90% huwa hawatoi mikataba ambapo unyanyasaji wa kufukuzwa ni mkubwa. Mwajiri anaweza kukuota vibaya usiku kesho asubuhi akakufuza bila sababu yoyote.

3. Privates schools nyingi mpaka simu wanakunyanganya inawekwa kwa mlinzi utaiona wakati wa kwenda nyumbani. This is totally enslavement. Mfano ni shule ya Nyahili pale Arusha Morombo eneo la Intel kwa chini hivi na tena inamilikiwa na mbunge aliyechikuwa Jimbo la Tarime Mjini.

4. Kutukanwa matusi ya nguoni ni mwajiri ni kitu cha kawaida sana.

5. Hakuna likizo kwa wafanya kazi walimu nk.

6. Kazini unaingia sa kumi na moja alfajiri unatoka saa mbili usiku. This is ridiculous kabisa. Halafu mshahara laki mbili.

Mpaka unajiuliza serikali hii inafanya kazi gani! Human welfare iko wapi ambayo ndio moja ya kazi za serikali kulinda maslahi ya umma?

Ukienda Kenya huwezi tofautisha mfanyakazi wa private schools na public schools. Wote wanakuwa treated sawa kabisa, wala mwajiri private hawezi kujisikia tu kumfukuza mwalimu, ni process kubwa mno.

Mkenda nilikuwa nakuona wewe ni Professor kumbe galasa tu.
Matatizo ya elimu ya Tanzania yanaanzia kwenye serikali kushindwa kuongoza. Haya mengine yooote haya uliyoorodhesha na hilo la wanafunzi kucheza nyimbo, ni matokeo yake. Hivyo ni kupoteza wakati bure kujadili matokeo badala ya chanzo. Kwa mfano haya unayolalamikia mengi yanatokea kwa sababu ya kutokuwa na vyama imara vya kutetea maslahi ya waalim. Vyama vilivyoko vimegeuzwa kuwa matawi ya CCM na viongozi wake badala ya kutetea maslahi ya waalim wamegeuka kuwa chawa wa serikali. Na hili la nyimbo nalo ni matokeo ya uongozi mbovu kuendekeza vitu vya hovyo kabisa inapoona vina maslahi serikali. Hawa kina Zuchu na hizo nyimbo zao hutumika na CCM kuwapumbaza watanzania wakati wa kampeni na hata muda ambao siyo wa kampeni. Rais yuko tayari kusafiri nje ya nchi na watu wa hovyo kabisa wanaojiita ni wasanii ili tu watumike kumtetea.
 
Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini!

1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba.

2. Private schools 90% huwa hawatoi mikataba ambapo unyanyasaji wa kufukuzwa ni mkubwa. Mwajiri anaweza kukuota vibaya usiku kesho asubuhi akakufuza bila sababu yoyote.

3. Privates schools nyingi mpaka simu wanakunyanganya inawekwa kwa mlinzi utaiona wakati wa kwenda nyumbani. This is totally enslavement. Mfano ni shule ya Nyahili pale Arusha Morombo eneo la Intel kwa chini hivi na tena inamilikiwa na mbunge aliyechikuwa Jimbo la Tarime Mjini.

4. Kutukanwa matusi ya nguoni ni mwajiri ni kitu cha kawaida sana.

5. Hakuna likizo kwa wafanya kazi walimu nk.

6. Kazini unaingia sa kumi na moja alfajiri unatoka saa mbili usiku. This is ridiculous kabisa. Halafu mshahara laki mbili.

Mpaka unajiuliza serikali hii inafanya kazi gani! Human welfare iko wapi ambayo ndio moja ya kazi za serikali kulinda maslahi ya umma?

Ukienda Kenya huwezi tofautisha mfanyakazi wa private schools na public schools. Wote wanakuwa treated sawa kabisa, wala mwajiri private hawezi kujisikia tu kumfukuza mwalimu, ni process kubwa mno.

Mkenda nilikuwa nakuona wewe ni Professor kumbe galasa tu.
Kwani Si muache kazi ili mlinde heshima zenu au mnataka muuonekane mnaenda tu kazini?
 
WaTz ni wanafiki mno wa kutisha !! Hakuna mtu anayejali mwingine anapata shida gani.

Sasa kama huna kazi, ukipewa kazi ya mshahara laki mbili na huulizi au ukiuliza hupewi mkataba, unataka serikali ikutetee vipi?

Unadhani kuna kiongozi yeyote atakayeenda popote kuangalia mambo yanaendaje kama halijatokea liskendo la kutisha? Kila mtu nchi hii anataka anakula kwenye urefu wa kamba yake. Basi !

Mnalalamika viongozi wabovu, lakini mkipewa vilaki kadhaa wakati wa uchaguzi, mnawapigia kampeni balaa, na kisha mnawachagua !! Sasa mnalalamika hawafai wakati mmewachagua wenyewe !!

Hata kama mtasema hamkuwachagua bali waliiba kura, mbona mlikaa kimya mlipoona hayo yakitokea?
 
Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini!

1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba.

2. Private schools 90% huwa hawatoi mikataba ambapo unyanyasaji wa kufukuzwa ni mkubwa. Mwajiri anaweza kukuota vibaya usiku kesho asubuhi akakufuza bila sababu yoyote.

3. Privates schools nyingi mpaka simu wanakunyanganya inawekwa kwa mlinzi utaiona wakati wa kwenda nyumbani. This is totally enslavement. Mfano ni shule ya Nyahili pale Arusha Morombo eneo la Intel kwa chini hivi na tena inamilikiwa na mbunge aliyechikuwa Jimbo la Tarime Mjini.

4. Kutukanwa matusi ya nguoni ni mwajiri ni kitu cha kawaida sana.

5. Hakuna likizo kwa wafanya kazi walimu nk.

6. Kazini unaingia sa kumi na moja alfajiri unatoka saa mbili usiku. This is ridiculous kabisa. Halafu mshahara laki mbili.

Mpaka unajiuliza serikali hii inafanya kazi gani! Human welfare iko wapi ambayo ndio moja ya kazi za serikali kulinda maslahi ya umma?

Ukienda Kenya huwezi tofautisha mfanyakazi wa private schools na public schools. Wote wanakuwa treated sawa kabisa, wala mwajiri private hawezi kujisikia tu kumfukuza mwalimu, ni process kubwa mno.

Mkenda nilikuwa nakuona wewe ni Professor kumbe galasa tu.
"Kazini unaingia sa kumi na moja alfajiri unatoka saa mbili usiku. This is ridiculous kabisa. Halafu mshahara laki mbili"...... Kuna wafanyakazi wana ratiba za aina hii ya kila siku? Wanalipwa pesa ngapi kwa masaa haya ya kazi?
 
Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini!

1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba.

2. Private schools 90% huwa hawatoi mikataba ambapo unyanyasaji wa kufukuzwa ni mkubwa. Mwajiri anaweza kukuota vibaya usiku kesho asubuhi akakufuza bila sababu yoyote.

3. Privates schools nyingi mpaka simu wanakunyanganya inawekwa kwa mlinzi utaiona wakati wa kwenda nyumbani. This is totally enslavement. Mfano ni shule ya Nyahili pale Arusha Morombo eneo la Intel kwa chini hivi na tena inamilikiwa na mbunge aliyechikuwa Jimbo la Tarime Mjini.

4. Kutukanwa matusi ya nguoni ni mwajiri ni kitu cha kawaida sana.

5. Hakuna likizo kwa wafanya kazi walimu nk.

6. Kazini unaingia sa kumi na moja alfajiri unatoka saa mbili usiku. This is ridiculous kabisa. Halafu mshahara laki mbili.

Mpaka unajiuliza serikali hii inafanya kazi gani! Human welfare iko wapi ambayo ndio moja ya kazi za serikali kulinda maslahi ya umma?

Ukienda Kenya huwezi tofautisha mfanyakazi wa private schools na public schools. Wote wanakuwa treated sawa kabisa, wala mwajiri private hawezi kujisikia tu kumfukuza mwalimu, ni process kubwa mno.

Mkenda nilikuwa nakuona wewe ni Professor kumbe galasa tu.

Kulikuwa hakuna haja ya kuattack personality ya Waziri. Halafu mbona hayo mambo yanaweza kushughulikiwa na afisa elimu?. Waziri ni mtu wa juu Sana.
 
Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini!

1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba.

2. Private schools 90% huwa hawatoi mikataba ambapo unyanyasaji wa kufukuzwa ni mkubwa. Mwajiri anaweza kukuota vibaya usiku kesho asubuhi akakufuza bila sababu yoyote.

3. Privates schools nyingi mpaka simu wanakunyanganya inawekwa kwa mlinzi utaiona wakati wa kwenda nyumbani. This is totally enslavement. Mfano ni shule ya Nyahili pale Arusha Morombo eneo la Intel kwa chini hivi na tena inamilikiwa na mbunge aliyechikuwa Jimbo la Tarime Mjini.

4. Kutukanwa matusi ya nguoni ni mwajiri ni kitu cha kawaida sana.

5. Hakuna likizo kwa wafanya kazi walimu nk.

6. Kazini unaingia sa kumi na moja alfajiri unatoka saa mbili usiku. This is ridiculous kabisa. Halafu mshahara laki mbili.

Mpaka unajiuliza serikali hii inafanya kazi gani! Human welfare iko wapi ambayo ndio moja ya kazi za serikali kulinda maslahi ya umma?

Ukienda Kenya huwezi tofautisha mfanyakazi wa private schools na public schools. Wote wanakuwa treated sawa kabisa, wala mwajiri private hawezi kujisikia tu kumfukuza mwalimu, ni process kubwa mno.

Mkenda nilikuwa nakuona wewe ni Professor kumbe galasa tu.
Kwenye andiko lako lote sijaona popote ulipofafanua namna Elimu inavyo haribiwa kwenye shule binafsi
 
Back
Top Bottom