Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
mashoga km nyinyi ndio wanawapenda sana kuwapakaa ujingaujinga ili muendelee kua wajinga wao milele, nani kakwambia yupo kukomoa?Endelea kulipa kodi SGR iliyopotea njia itengenezwe , na Rais apate usafiri na makazi salama, pamoja na virungu vya polisi vinunuliwe , kama hutaki , tembea uchi usinunue nguo, usinunue bundle, usile , usipnde gari temebea kwa miguu, hapo ndo utakua umeikomoa serekali.
Nyumbu wemashoga km nyinyi ndio wanawapenda sana kuwapakaa ujingaujinga ili muendelee kua wajinga wao milele, nani kakwambia yupo kukomoa?
Weshoga km unabisha kataaNyumbu we
Chagua jibu sahihiWeshoga km unabisha kataa
Staaaap it, please staaaap it, i say staaaap iiit. Okay take that olive branch and extend it to him. Come on do it, i say do it right NOW!Nyumbu we
I see you're kicking up dust like a wildebeest.Staaaap it, please staaaap it, i say staaaap iiit. Okay take that olive branch and extend it to him. Come on do it, i say do it right NOW!
Gwaji boy alitabiriSGR tayari imewaumbua huko; chuma imekula vumbi.
Fedheha za wizi na ufisaidi zinazomhusisha bi mkubwa na familia yake hakika hazimithiliki; hata wao naamini wanajiuliza ilikuwaje tukajisahau tukaiba sana hivi?? Imekuwaje “tumekuwa na tamaa ya mali hadi tukaanza kutamani na kunyang’anya mali za yatima na wajane???”
Sasa badala wajibu, wanatumia mapesa yote hayo kuhonga huku na huku na kudhibiti umma; swali langu kwao, wanaamini wanayo energy ya kutosha kupambana hadi mwisho na umma wa watu mil.70 kwa miaka mitano ijayo??? Watatoboa?
Imani yangu inaniambia mateso yajayo kwa familia hii ni makali mno.
Baada ya Uchafuzi, hakuna atakayemsikiliza zaidi ya familia yake. Machawa wa sasa wanapiga hesabu za mbele hivyo watamwacha.
Mchuma janga hala na nduguze👋🏽