Badia za dengu na chatne

Badia za dengu na chatne

mpenzi! mandazi nilipika tena basi! lol na ndo hadi weekend! thanx farkhina kwa mapishi motomoto unachangamsha jamvi na kutupa apetite

Hahahaha....shukraan shosti..
 
Ukhtii ..Maakulati yako unapamba kaDhahabu (multiculture) kwani kila mtu hupenda dhahabu... hivo taswira za maakulati zavutia. mie badia nshaziona ila kuzikaanga sijawahi..
kind thanks

Ndio ukaange tena recipe ndo hiyo....
 
Mi huwa naweka na yai moja kwenye huo unga wakati nauandaa na siweki curry powder,ngoja leo hii hii nijaribu hii recipe

Jaribu my dear....urudi kutupa feedback
 
Jaribu my dear....urudi kutupa feedback

Maashaallah!! Ndio zimeliwa jioni hapa mamy,nilipunguza pilipili tu maana katika walaji kuna watoto pia!
Ahsante kwa recipe,leta zaidi za bites. Jazaakallahu l khair.
 
Maashaallah!! Ndio zimeliwa jioni hapa mamy,nilipunguza pilipili tu maana katika walaji kuna watoto pia!
Ahsante kwa recipe,leta zaidi za bites. Jazaakallahu l khair.

Sawa my dear....shukraan sana
 
tatizo uzito wa unga ukishachanganya uwe mwepesi au mzito
 
kuna mwingine sijakuona kule Kwa umukagame kasema anaolewa kampata msabato humu jf nenda kuna uzi kauweka kule

Hahahhahah mtasutwa shauri zenu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
farkhina, nikichanganya majani ya giligilani kwenye chatne itanoga?
Napenda iwe na rangi ya kijani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom