Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Aaaaah wajerumani wazee wa kufanya complications. Wajanja hawa jamaa.... mi nawakubali kwenye luxury features zao tu. Lakini Engine tumuachie Mjapan.
Hapana nitapingana nawe milele
 
Ila BMW sizipendi coz kuna cku nilipanda ya mdada mmoja akawa ananiringishia[emoji23][emoji23]kuanzia hapo nikaichukia..saivi ipo juu ya mawe kaipaki[emoji16][emoji16]
Chuki binafsi? [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Hapana mshana ata ingekua ww ungechukia mtu anavokudolishia gari yake kama ye ndo wakwanza kununua gari[emoji57][emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa ungemchukia yeye gari haina makosa
 
Bmw nmezifatilia kiundani nimegundua sio gari imara ila ni gari nzuri sana..ukinunua badilisha control unit weka mpya utaifaidi sana
 
Bmw nmezifatilia kiundani nimegundua sio gari imara ila ni gari nzuri sana..ukinunua badilisha control unit weka mpya utaifaidi sana
Mmmh [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mmmh [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nyingi naona user anariport kua control unit inaoverheart napenda hizi gari safi sana ila kilakitu kinatumia umeme HADI valve timing inatumia umeme...HUA HAZIDUMU ILA NI GARI NZURI SANAA NASISITIZA.
 
Hapana nitapingana nawe milele
Ata mimi nipo tayari kupingana hapa 😀. Usidanganywe na ule msemo wao "German Engeneering". Engine za hawa jamaa ni pain in a**. Tofauti kabisa na Toyota. Engine za toyota zipo very simple, hazina complications and easy and cheap to maintain. BMW/MB, ni wazuri kwenye kukuwekea latest technology, lakini hizi latest technology zao, ndio chanzo cha matatizo ya gari. The whole car ipo controlled with electronics, complicated electronics, kikifeli kitu utajuta. Kuna kipindi niliona BMW 7 series kutoka beforward, yaani mpaka inafika bandarini ni dola $2500 apo ukalipe ushuru tu tena. Nikaona this is a nice car, alot of features, kisha kitu ukiingia ndani kama upo kwenye ndege ivi, hata crown ya 2007 haingii ndani kwa hii kitu. Nikaona ngoja nitizame reviews ya hii gari. Ukweli ni kama imesettiwa ivi ikifika kuanzia kilomita laki moja jitaarishe kuvunja benki. Maana matatizo hayaishi. Common issue ni transmission failure. Out of nowhere, unaweza ukadrive ukajikuta gear 3 haingii, wala moja hairudi, inakwama kwenye 2 au inacheza kwenye 1 na 2. Speed ya gari nayo haivuki 40kmhr kwa sababu haibadilishi tena gia. Maintainance yake hapo, ni new Transmission tu. Sio kwamba sijui ubadilishe solenoid, unanunua new transmission na uombe hio transamission nayo bado inayo mda mrefu wa kuishi.

Ama ukija kwa comfortability na features, wajerumani wapo juu. Lakini when it comes to engine reliability, narudia tena, Mjapan (naongea kuhusu toyota) aachwe tu.

Ukitaka kujua kama hawa jamaa wana complicate mambo, BMW betri wanaweka nyuma ya gari (kwenye buti) halafu mbele kwenye engine compartment wameweka vichuma vya negative and positive kwa ajili ya kujump start gari, thats German engeneering
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nakutafutia jibu nitarudi badae.....kwa sasa nimeishiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo na baridi ya balimi sana bei ni buku tu
 
Mimi nina BMW SUV, X5. Electronics isues sijaona hivyo.

Ila pia baada ya muda kidogo nataka kujiongeza nichukue Porsche Macan S.
Mkuu nipe elimu kidogo kuhusu x3 new model hizi za kuanzia 2011
 
Nilikua nasoma kwenye website ya Forbes wiki iliyopita ,kuna kampuni inaitwa JD power huko US of A pamoja na ulaya ambapo ina deal na car rating. JD wanazipa kampuni za kutengeneza magari marks au points kutokana na ubora hasa breakdowns. Wanafanya vipi?

JD wanakusanya taarifa za Wateja wa gari mpya 100 kutoka kila brand kama Toyota,BMW,Mercedes, Hyundai etc. Baada ya hapo watakua wanalusanya report za breakdown kwa miezi 12 halafu watafananisha brand zote ili kujua ni brand gani wateja wake hawakwenda garage mara nyingi zaidi toka waliponunua gari.

So far kwa miezi 12 iliyopita Hyundai/KIA wameongoza kwa kuwa na matatizo machache zaidi katika kila gari 100 kuliko wateja wa brand nyingine. Brand ya mwisho kabisa kwenye reliability imekua ni BMW kwa na faults nyingi kuliko brand nyingine.
 
Mkorea anakuja vzr sana,
Sema tatizo spares hapa bongo
 
Unajua watu Kuna kitu hawaelewi!

Hakuna gari za Toyota Bali Kuna usafiri aina ya Toyota!

Magari ni km haya BMW, Audi, Volkswagen, Ford motors, Land Lover nk!
Acha masihara mkuu mbona Toyota wana magari mazuri tu mfano. land Cruiser model zote zipo poa sana
 
All over the internet watu watakuambia bila kupepesa kwamba Toyota ndio kampuni (na Japan ndiyo nchi) inayoongoza kwa kutengeneza magari reliable yanayodumu.

Wajapan wana highly evolved manufacturing na quality testing process. Wakitoa chuma ni chuma kweli hakikusumbui hovyo.

Pia ni minimalists na hivyo cost za gari zinakuwa chini kwasababu hawana unnecessary complications.

Inexpensive + Reliable - Perfect for the masses hasa waafrika.
Kweli mkuu mm mfano ukiniwekea Land Cruiser kama Vx 100series 4.2 Turbo Diesel au GX model yake umenimaliza kabisa. Ni gari za uhakika muda wote na unaweza kusafiri popote pale bila wasiwasi wa gari kuharibika
 
Back
Top Bottom