Badili mtazamo wako kuhusu BMW

😀😀😀😀😀😀 hiyo yote kutaka kijiweka wa kipekee bora hizo watu wanaita mbolea kwakweli
Counterfeit parts, lubricants na poor maitanance ndio chanzo... Mengine ni kutishana kulikopitiliza
 
Counterfeit parts, lubricants na poor maitanance ndio chanzo... Mengine ni kutishana kulikopitiliza

Uko sahihi
Utakuta mtu anataka kubania hata oil change aende wanapofanya service ya IST au Noah ili abane matumizi unategemea nini?
Mercedes na BMW zitabaki kuwa kwaajili ya wachache na they are not for everyone
 
7 series ya 2011 ndio anayotumia anko T 196 DFQ
 
Kama mnakatia bima kubwa (Comprehensive) wanalipa gharama za kubadili kioo cha mbele na nyuma kama kikipata "crack" kampuni nyingi wanalipa hadi Tsh 1,000,000
 
Mnaongeleaje kuhusu BMW X3 new model ya mwaka 2012 wapendwa nataka nimwage mpunga
 
Gari gani ambayo bmw inalingana na toyota brevis mtu kama wa singida atapata wapi spea labda awe anafata dar
Watu wanaagiza mizigo toka ulaya inakuja leo spare toka Dar au Nairobi kweli? Binafsi nilisha miliki Corolla,Carina,Rav4 na Starlet.lakini katika maisha yangu kwa uwezo wa MUNGU nahitaji kua na BMW pia,hata kama spare ntakua nazitoa Cambodia potelea kote.kuna mtu jamaa yangu ana Dodge Ram na inatembea na kutengenezwa pindi ikileta shida afu BMW ndo ishindikane ilihali wanazo watu wengi tu.huku ni kutishana tu
 
Kuna msela huko Igunga na yeye alipewa ushauri kuhusu kununua honda akajibu hivyo ntakua naagiza spare,gari yake inakaaga juu ya mawe mpk spare zifike cha moto amekipata.
 
Mie Mini Cooper inanitosha!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…