Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

😀😀😀😀😀😀 hiyo yote kutaka kijiweka wa kipekee bora hizo watu wanaita mbolea kwakweli
Counterfeit parts, lubricants na poor maitanance ndio chanzo... Mengine ni kutishana kulikopitiliza
 
Counterfeit parts, lubricants na poor maitanance ndio chanzo... Mengine ni kutishana kulikopitiliza

Uko sahihi
Utakuta mtu anataka kubania hata oil change aende wanapofanya service ya IST au Noah ili abane matumizi unategemea nini?
Mercedes na BMW zitabaki kuwa kwaajili ya wachache na they are not for everyone
 
Unajua watu Kuna kitu hawaelewi!

Hakuna gari za Toyota Bali Kuna usafiri aina ya Toyota!

Magari ni km haya BMW, Audi, Volkswagen, Ford motors, Land Lover nk!
IMG_20180811_230709_972.jpg
 
Stanley Mitchell had bmw 7 series 735 ya 2011 ni bei rahisi?? unadhan unaweza ipata na bajet yako?? bmw ni kampuni jamani sio aina na gari ukiandika bmw andika ja model yake maana kwa sentensi yako hapo ni sawa na kuwa umeandika umeaandaa milion 13 lakini unasema toyota za 2011 ni bei rahisi wakati hela yako haifiki hata asilimia 10% ya kununua v8 used ya 2010....
7 series ya 2011 ndio anayotumia anko T 196 DFQ
 
Hahaaa.

Mwezi uliopita kuna kijiwe gani sijui kimepiga kwenye kioo. Ufa ukaanza kidogo. Ukawa unatambaa by the day.

Mzee mzima nikasema sitaki gozigozi kuendesha gari kioo kina ufa. Nikafanya research kioo cha mbele nafuu kilikuwa $450. Ukienda kichwa kichwa kuna sehemu mpaka $1200. Nikaambiwa kwa sababu kioo kina sensor ya kujua mvua inanyesha.

Nikasema isiwe tabu. Nikajipiga nikawekewa kipya.
Hapo ilikuwa ulaji wa matraffic police maana wanahesabu ni kosa. Mi mwenyewe ni mhanga wa hivi vijiwe yaan vikishasababisha crack kidogo inaendelea.

Sasa hapo kwenye bei..kwa toyota isingezidi $100 au $200 kulingana na aina ya gari. Sasa hayo mambo ya sensor ya mvua tena? [emoji2]
Kama mnakatia bima kubwa (Comprehensive) wanalipa gharama za kubadili kioo cha mbele na nyuma kama kikipata "crack" kampuni nyingi wanalipa hadi Tsh 1,000,000
 
Mnaongeleaje kuhusu BMW X3 new model ya mwaka 2012 wapendwa nataka nimwage mpunga
 
Gari gani ambayo bmw inalingana na toyota brevis mtu kama wa singida atapata wapi spea labda awe anafata dar
Watu wanaagiza mizigo toka ulaya inakuja leo spare toka Dar au Nairobi kweli? Binafsi nilisha miliki Corolla,Carina,Rav4 na Starlet.lakini katika maisha yangu kwa uwezo wa MUNGU nahitaji kua na BMW pia,hata kama spare ntakua nazitoa Cambodia potelea kote.kuna mtu jamaa yangu ana Dodge Ram na inatembea na kutengenezwa pindi ikileta shida afu BMW ndo ishindikane ilihali wanazo watu wengi tu.huku ni kutishana tu
 
Kuna msela huko Igunga na yeye alipewa ushauri kuhusu kununua honda akajibu hivyo ntakua naagiza spare,gari yake inakaaga juu ya mawe mpk spare zifike cha moto amekipata.
 
Back
Top Bottom