Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Kuna fundi wa gari za BMW yuko maeneo ya mwenge karib na tamal hotel! Fanya kumcheki tatizo litatatuliwa hilo
contact zake bahat mbaya zilishapotea!
Ni kweli, akienda Mwenge pale kuna mafundi watalaam wa gari za Europe(Audi, BMW, VW, Range Rover, Land Rover Discover na magari ya Toyota/Japan ya soko la Europa na Amerika)
 

We bwege tu usituletee ushamba wako, umewahi kumiliki hata funguo ya gari wewe?
 
We bwege tu usituletee ushamba wako, umewahi kumiliki hata funguo ya gari wewe?
mbona kama ume panic? mimi nimekuletea fact. wewe unaleta mipasho. sasa nimiliki funguo ya gari inisaidie nini badala ya kumiliki gari? hapa ndo nimegundua kumbe nahangaika kumwelekeza mtu ambaye ana miliki funguo ya gari. wenye kufahamu magari hawawezi kuandika unachoandika. wenye akili wangekuja na hoja lakini huna hoja pamoja na kukuletea evidence umeishia kupanik na kutoa povu sehemu zako zote za wazi za mwili? just relax bwana mdogo ukikua utafahamu magari yakoje kwa sasa endelea kuwa unasikiliza wanachosema vijiweni nawe uje kuandika huku.
 
Kitu kinachotushinda ni kwamba gari za kizungu ziko more advanced kiteknolojia na unakuta matengenezo ndio tatizo kwa maana ya pesa,spea na mafundi pia utakuta BMW imepaki inasumbua gearbox na tatizo hilohilo likitokea kwenye brevis linatatuliwa fasta,nissan nazo nyingi ni kama european car si mbovu ila kuzihudumia ndio tatizo.
 
Pia tumeshazoezwa gari za Kijapan na mafundi wetu tangu wanajifunza wanajifunzia huko
 
Pia tumeshazoezwa gari za Kijapan na mafundi wetu tangu wanajifunza wanajifunzia huko
[emoji23][emoji23]utadhani ni sheria kujifunzia gari za kizamani,pale iringa veta miaka ya 2000 kulikuwa na peugeot 203 nilishangaa kuiona na misele inapiga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…