kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Sio kwamba genuine spare hazipo z Toyota zipo nyingi sana ila watanzania wengi hawapend vitu genuine kwa bei kubwa wao wana msemo wao nikiweka hiki kikipiga miezi mitatu ni mingi sana pia Toyota ni kampuni ambayo mchina amemtolea spare nyingi sana hii ni kutokana na mfumo wake aliouweka ni tofaut na magari ya ulaya ambayo ni ngumu kwa mchina kumtolea copy yakemkuu...tatizo mnauziwa vifaa feki vya toyota ndo maana mnadhani toyota ina vipuri vya bei rahisi...mnavyouziwa k.koo vingi si genuine...jaribu tu kuulizia vipuri genuine vya toyota alafu ulete majibu...
Sent using Jamii Forums mobile app