Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

mkuu...tatizo mnauziwa vifaa feki vya toyota ndo maana mnadhani toyota ina vipuri vya bei rahisi...mnavyouziwa k.koo vingi si genuine...jaribu tu kuulizia vipuri genuine vya toyota alafu ulete majibu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba genuine spare hazipo z Toyota zipo nyingi sana ila watanzania wengi hawapend vitu genuine kwa bei kubwa wao wana msemo wao nikiweka hiki kikipiga miezi mitatu ni mingi sana pia Toyota ni kampuni ambayo mchina amemtolea spare nyingi sana hii ni kutokana na mfumo wake aliouweka ni tofaut na magari ya ulaya ambayo ni ngumu kwa mchina kumtolea copy yake
 
*TANGAZO* .

kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....

Jr[emoji769]
 
View attachment 686106ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida...
Mkuu Mshana naona siku hizi umeachana na story za mauchawi na majini. BMW tumekusoma mkuu, vipi una uzoefu na Benz utupemo pia hints?
 
Mkuu Mshana naona siku hizi umeachana na story za mauchawi na majini. BMW tumekusoma mkuu, vipi una uzoefu na Benz utupemo pia hints?
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana kaka kwenye Benz niko mweupe

Jr[emoji769]
 
Sio kwamba genuine spare hazipo z Toyota zipo nyingi sana ila watanzania wengi hawapend vitu genuine kwa bei kubwa wao wana msemo wao nikiweka hiki kikipiga miezi mitatu ni mingi sana pia Toyota ni kampuni ambayo mchina amemtolea spare nyingi sana hii ni kutokana na mfumo wake aliouweka ni tofaut na magari ya ulaya ambayo ni ngumu kwa mchina kumtolea copy yake
Hakika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na hili ndo tatizo la wabongo wengi...yani nyny mnajali UNAFUU zaidi kuliko USALAMA...

katka kitu ambacho mjapan amefel ni usalama...aisee ukipata ajali na gari za aina ya toyota usalama wako ndan ya gari unakuwa ni mdogo sana...sijui kwa nn watu hamdhamin UHANIwenu mnadhamini UNAFYU...
Mkuu naomba kuuliza hivi Vw touran na Vw golf touran ni gari mbili tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina BMW SUV, X5. Electronics isues sijaona hivyo.

Ila pia baada ya muda kidogo nataka kujiongeza nichukue Porsche Macan S.

Kwa vile hatukujui wacha tukubali ...mi pia nina range rover ya 2013

Diesel

4.4L v8

340hp gia nane . .huwa sioni wa kusumbuana nae nae njiani...
 
Hahaaa.

Mwezi uliopita kuna kijiwe gani sijui kimepiga kwenye kioo. Ufa ukaanza kidogo. Ukawa unatambaa by the day.

Mzee mzima nikasema sitaki gozigozi kuendesha gari kioo kina ufa. Nikafanya research kioo cha mbele nafuu kilikuwa $450. Ukienda kichwa kichwa kuna sehemu mpaka $1200. Nikaambiwa kwa sababu kioo kina sensor ya kujua mvua inanyesha.

Nikasema isiwe tabu. Nikajipiga nikawekewa kipya.

Hicho kioo uliona kina waya kama wa touch za smart phone hizi au kipo tu kawaida ww ukakubali kwamba kina sensor bila kujiuliza hiyo sensor iko wap
 
Mfano mpaka leo.Service ya gari mara nyingi wanabadili oil na oil filter. basi...kumbe ata airbags zinatakiwa kuwa checked na Computer kama zipo OK au hapana.Automatic brake System kama zipo OK au hapana na Sensors haya hayafanyiki..kweli kabisa safari bado ndefu.Serikali inatakiwa kuwekeza kwenye kuzalisha mafundi mchundo wengi kuendana na kasi ya teknolojia na ukuwaji wa uchumi

Hakuna automatic brake system ...ni antlock/ skid
 
Back
Top Bottom