Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

Asante kwa mchango,kwanini umeweka distressed?
Distressed, ni adjective inajaribu kuelezea hali anayopitia mwanamke anayebeba maji kwa ndoo kichwani, kwa maelezo yako huyu ni mama ambaye ana majukumu ya kulea, na kama ujuavyo mtoto anahitaji attention wakati wote, hivyo labda amembeba mgongoni. Unaweza kupata picha anayopitia mama huyu.
 
You can simply google. Muda huo sina. Kwa kipindi hiki kuuliza watu msawali haya madogo madogo ni uzembe; na hata makubwa makubwa pia kwa sababu google is everything!
Bora usingeingia kwenye huu uzi,umepoteza wako muda bure
 
Lift her burden for clean water
Unaambatanisha na picha
IMG_4674.jpg
 
Distressed, ni adjective inajaribu kuelezea hali anayopitia mwanamke anayebeba maji kwa ndoo kichwani, kwa maelezo yako huyu ni mama ambaye ana majukumu ya kulea, na kama ujuavyo mtoto anahitaji attention wakati wote, hivyo labda amembeba mgongoni. Unaweza kupata picha anayopitia mama huyu.
Asante nimekuelewa
 
Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?

"Kumtua mama ndoo kichwani"

Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]

Ahsante
In our country the mission is tu robbery the mother pot
 
Sentensi imekaa kikauli mbiu nafikiri inafaa iandikwe hivi;

Removing the bucket on mother's head.

Ila bro nina njaa. Hapa naandika sijala please help.
[emoji16][emoji3]asante kwa mchango ,pole kwa njaa nahisi kuandika kiingereza nayo imechangia
 
Hicho ndio hakitakiwi sasa, ulitakiwa kwenda kwenye mantiki moja kwa moja ila unaweza mwisho wa hiyo mantiki ukarudia huo msemo wa kiswahili

Mfano The government is ensuring reliable water supply countrywide through a campaign "mtue mama ndoo kichwani"
Sawa,asante kwa ufafanuzi
 
Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?

"Kumtua mama ndoo kichwani"

Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]

Ahsante
Mengine hayana direct translation lakini wataelewa

Ni the same Kwa upande wa pili
 
Back
Top Bottom