Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

Okay, hizi nadhani ndio tafsiri bora zaidi ya hiyo sentensi

"to relieve mother's head the bucket burden"

ama pia,

"to relieve the bucket burden from mother's head"

Sasa kama kuna tafsiri nzuri zaidi ya hii sijui,

Maana imetaja kila kitu, kutua=relieve, mama=mother, kichwa=head, ndoo=bucket
Asante kwa mchango wako mkuu
 
Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?

"Kumtua mama ndoo kichwani"

Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]

Ahsante
Wenye lugha yao hawabebi ndoo kichwani, ni vigumu hata ukiyapata maneno, Kwa msikilizaji hasa wenye lugha yao, kupata mantiki ya unachoongelea.
"Taking down the the bucket of water off mother's head"
 
Wenye lugha yao hawabebi ndoo kichwani, ni vigumu hata ukiyapata maneno, Kwa msikilizaji hasa wenye lugha yao, kupata mantiki ya unachoongelea.
"Taking down the the bucket of water off mother's head"
Sawa,asante kwa maelezo
 
let mommy rest she seem tired of all the heavy lifting [emoji12]
 
Back
Top Bottom