Distressed, ni adjective inajaribu kuelezea hali anayopitia mwanamke anayebeba maji kwa ndoo kichwani, kwa maelezo yako huyu ni mama ambaye ana majukumu ya kulea, na kama ujuavyo mtoto anahitaji attention wakati wote, hivyo labda amembeba mgongoni. Unaweza kupata picha anayopitia mama huyu.Asante kwa mchango,kwanini umeweka distressed?
Mtwishe hata Wine Ataelewa tu!Ukikitana nae Club hio ndoo ya kumtwisha unaitoa wap?
Hakuna namna ndio usahihi wenyewe.Du! hapo ataelewa kweli?![emoji16]
Duh!!! Kwani hukubebwa na magari ya njano.Remove a bucket kwa kichwa ya mazeri
[emoji3][emoji16]Lift her burden for clean water
Unaambatanisha na picha View attachment 2160213
Asante nimekuelewaDistressed, ni adjective inajaribu kuelezea hali anayopitia mwanamke anayebeba maji kwa ndoo kichwani, kwa maelezo yako huyu ni mama ambaye ana majukumu ya kulea, na kama ujuavyo mtoto anahitaji attention wakati wote, hivyo labda amembeba mgongoni. Unaweza kupata picha anayopitia mama huyu.
In our country the mission is tu robbery the mother potWakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?
"Kumtua mama ndoo kichwani"
Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]
Ahsante
[emoji16][emoji3]asante kwa mchango ,pole kwa njaa nahisi kuandika kiingereza nayo imechangiaSentensi imekaa kikauli mbiu nafikiri inafaa iandikwe hivi;
Removing the bucket on mother's head.
Ila bro nina njaa. Hapa naandika sijala please help.
[emoji3][emoji16]
Sawa,asante kwa ufafanuziHicho ndio hakitakiwi sasa, ulitakiwa kwenda kwenye mantiki moja kwa moja ila unaweza mwisho wa hiyo mantiki ukarudia huo msemo wa kiswahili
Mfano The government is ensuring reliable water supply countrywide through a campaign "mtue mama ndoo kichwani"
Mengine hayana direct translation lakini wataelewaWakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?
"Kumtua mama ndoo kichwani"
Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]
Ahsante